Naibu Rais Gachagua asema Ruto ni mpole sana angekuwa yeye pale juu angetenda kama Shujaa wa Nchi jirani!

Naibu Rais Gachagua asema Ruto ni mpole sana angekuwa yeye pale juu angetenda kama Shujaa wa Nchi jirani!

Waliomkimbia walikua majasrii sio[emoji1787]

Chuma kaza pumbu wajinga wakakimbilia kwa maupinde

Ubabe wote na yeye akafa. Mmebaki kudai aliuawa.kama alikuwa chuma mbona kauawa huyo ibilisi?. Yule alikuwa mwehu Sasa huwezi kushindana na mwehu.
 
Lakini ndio hawezi sasa kabaki kula kungumanga ili macho yalegee.
Kazaliwa hivyo sio Kungumanga bwana,ila kama yumo humu kweli naanasoma comments zetu Rais unatakiwa kujitafakari sana unatupeleka kubaya na kinachokusahidia hatuna watu wa kuthubutu kama Odinga.
 
Kuna watu waling'olewa meno bila ganzi kwenye awamu flni hv ya pesa nje nje lkn hamuongei kabisa mana bado mambo yenu yaliwanyookea, ila alipokuja chuma na kuwabania kila mahali ndo mnakuja kutupigia kelele
Hayakuwa matukio ya kutisha watu kutokea kila siku. Hata enzi za Ulimboka watu tulipaza sauti zetu ingawa tuliishia kuambiwa tunatumiwa na mabeberu!!
 
Ht ww ikifika muda wako utasepa tena inawezekana ikawa mchana kweupe peeeeee na jua lake la utosini

Usijifiche kwenye uongo, yule aliondoka kutokana na kumwaga damu za watu. Kifo chake kina tafsiri nyingi Sana, jifanyen I hamuelewi.
 
Alikuwa katili sana jamaa yenu. Kuna watu wamebaki vilema wa maisha kwa yeye kuendekeza watu waliokuwa wanausifia ukatili wake!!
Wewe ndo kilema wa maisha wa akili haujui kutofautisha rais aliyekuwa anatupeleka kwenye Mafanikio na Rais anayetupeleka kwenye Madeni.
 
Halafu naye akafa kwa aibu. Usicheze na damu za watu.
Aibu ipi? Alikufa kishujaa, akiwa ameacha kazi ya kizalendo iliyotukukua na kuweka mfano wa jinsi tunavyoweza kufanikiwa kama tukiwa serious na maendeleo ya nchi.

Atakumbukwa milele na watanzania wazalendo.
 
Wewe ndo kilema wa maisha wa akili haujui kutofautisha rais aliyekuwa anatupeleka kwenye Mafanikio na Rais anayetupeleka kwenye Madeni.
Mafanikio aliyotuachia ndiyo haya madeni ambayo tunaambiwa tunakaribia kuvuka mstari wa kuyahimili. Kwani aliikuta nchi haina maendeleo!!??
 
Hizo ni kauli za kishoga, mwanaume unakufa kwa kile unachokiamini.

Yesu kristo alikufa kwa kile alichokua anakiamini.

Galileo Galilei alikufa kwa kile alichokua anakiamini.

Historia hukumbuka watu waliokufa kwa kusimamia wanachokiamini sio mashoga na waoga.

Hakuna muoga alieshi miaka 100 ama 200 anaekumbukwa, anaumbukwa shujaa hata kama aliishi miaka 2.

Ukiwa shujaa unaishi muda mfupi lakini unaacha jina linaishi karne na karne, unakua muoga unaishi miaka 100 ukifa hata ukoo wako wanakusahau.

Usifananishe giza na nuru. Mnamfananisha Yesu na huyo ibilisi kwa lipi?. Muuaji na mwenye kiburi aliyedhani yeye tu ndio mwenye haki.
 
Hayakuwa matukio ya kutisha watu kutokea kila siku. Hata enzi za Ulimboka watu tulipaza sauti zetu ingawa tuliishia kuambiwa tunatumiwa na mabeberu!!
Wewe unamtindio wa ubongo,Hao akina urimboka wangekubadilishia ARVs hizo unazo meza wakakupa fake ungejisikiaje,Mtu anag'olewa meno na kucha na kusema hakukuwa na matukio ya kutisha?.
 
Kuna watu waling'olewa meno bila ganzi kwenye awamu flni hv ya pesa nje nje lkn hamuongei kabisa mana bado mambo yenu yaliwanyookea, ila alipokuja chuma na kuwabania kila mahali ndo mnakuja kutupigia kelele

Chuma gani muoga hivyo. Anaogopa wapinzani mpaka akawa anaharibu chaguzi na kufuta mikitano ya siasa. Ni vyema alifutiliwa mbali kabisa kwenye uso wa Dunia. Akakutane na saanane na Azory.
 
Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana

Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo

Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi

Mlale unono!
Kwani bado huyo Shujaa wa Jirani yupo!? Hasikiki!!
 
Mafanikio aliyotuachia ndiyo haya madeni ambayo tunaambiwa tunakaribia kuvuka mstari wa kuyahimili. Kwani aliikuta nchi haina maendeleo!!??
Mkuuu ndo mana tunawambia yaani hili jina mmeamua kujiita la chawa wa Mama ni laaana kwenu,mnaongea tu ili mradi tu umeambiwa akikisha Mb tulizokununulia zinaisha.
Juzi si Bwana wa mabas ya esterbigstarz alisema Tanzania bado sana yaa kwa swala la kukopeshwa hatujafika kwenye kiwango kibaya?
 
Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.

Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.

Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Jiwe alikuwa ni Kichaa
 
Aibu ipi? Alikufa kishujaa, akiwa ameacha kazi ya kizalendo iliyotukukua na kuweka mfano wa jinsi tunavyoweza kufanikiwa kama tukiwa serious na maendeleo ya nchi.

Atakumbukwa milele na watanzania wazalendo.

Kazi gani kaacha? Ya watu wasiojulikana na ubaguzi? Sipeleki maeendeleo maeneo mlipochagua upinzani, Mara Ndugai awashughulikie upinzani ndani ya bunge yeye atawashughulikia nje ya Bunge. Unaogopa upinzani mpaka unafanya kufuru, ndio maana akafa kwa kujificha.
 
Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana

Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo

Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi

Mlale unono!
Mnapofikia Mahala pa kuwaita Vichaa Mashujaa
 
Back
Top Bottom