Naibu Rais Gachagua augua ghafla na kupelekwa hospital Muda mfupi kabla hajaanza kutoa ushahidi

Naibu Rais Gachagua augua ghafla na kupelekwa hospital Muda mfupi kabla hajaanza kutoa ushahidi

Spika wetu kawapiga mabeberu ngumi ya chembe juzi kati.

Ila yeye akirudi hataki mtu aseme asichotaka kusikia.

Ila amenifurahisha....kumbe anajua kugombeza kwa kiingereza?
Hahahaha we jamaa, eti kumbe anajua kugombeza kwa kiingereza..😀😀😀
 
Leo mchana muda wa saa nane na dakika 20 ulikuwa mahsusi kwa Naibu Rais wa Kenya Mh Rigathi Gachagua kutoa utetezi wake. Lakini Cha kushangaza wakili wake Mr Paul Muite akadai hapatikani. Ila baada ya muda wakili wake huyo akadai amewasiliana naye na kwamba yupo hospitalini kalazwa. Inakuaje kalazwa muda wa kutoa ushahidi wake?

Kuna kitu kakiona kaona aingie mitini?. Kwa Sasa seneti inajadili maamuzi ya namna watakavyoendelea na hili suala.
Kwa wanasheria hili wala hatulishangai, katika kutoa ushahidi kuugua pia hutumika kama delaying tactics za kujipanga vizuri katika kutoa ushahidi, hasa ukishazsoma hoja za upande wa pili,inakupa nafasi ya kujipnga zaidi na kuchambua kile walichowasilisha
 
Naona seneti imemgomea Gachagua. Wameamua kuendelea
 
Yoyote alienkaribu na mzee wangu huyu

Namshairi hapa tulipofikia. Mzee hioo seneti inafanyaa comedy

Wana hukumu tayari washapewa maelekezo

So ushauri tu. Mzee wetu mpaka sasa hali sio nzuri hata ukirudi hao si wazuri tena kwakoooo

Kama huamini kaulize familia ya saitoti watakwambiaqq

Haya sio mambo ya kukomqq nayoo kumbuka una familia mzee wangu

Hizi hospt unazoenda kulazwa hawatokuacha salamaqa

Nakuwish all best n ur decision
 
Katika hali isiyotarajiwa, Naibu wa Kenya Rais Rigathi Gachagua ameripotiwa kuzidiwa na kupelekwa hospitalini zikiwa zimebaki dakika chache kabla ya kutoa ushahidi wake.

Wakili wake, Paul Muite, aliwaambia Maseneta kuwa Gachagua alizidiwa baada ya chakula cha mchana wakati akisubiri kesi ya kumwondoa madarakani iendelee .

Ikumbukwe kuwa leo, Maseneta walitarajiwa kupiga kura juu ya mashtaka 11 yanayomkabili Gachagua.

Muite alisema, “Ukweli mchungu ni kwamba Naibu Rais wa Jamhuri ya Kenya ameugua sana, na anapokea matibabu hospitalini."

Muite hakufichua ni hospitali gani Naibu Rais amepelekwa wala aina ya ugonjwa unaomsumbua.
Gachagua alitarajiwa kutoa ushahidi wake mwenyewe katika kesi hiyo ya kumvua madaraka yake kama Naibu Rais

Spika Kingi alisema,

“DP alitarajiwa kutoa ushahidi. Nilitangaza mpango uliotakiwa kufanyika mchana, na nikaeleza kuwa tutautekeleza mpango kwa umakini ili tumalize jambo hilo leo. Wakili Paul Muite alisema hawezi kumfikia mteja wake, lakini hilo si jukumu la Bunge. Seneti inamngoja Naibu Rais, hakuna Seneta mwingine atakayechukua nafasi hiyo."

Source: Nation Africa

Pia, soma: Yanayojiri katika Kesi ya kumuondoa Madarakani Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua leo Oktoba 17, 2024
Akifanya mchezoooo ataishiaaa hosptalini hawajuii vizuriii
 
Yoyote alienkaribu na mzee wangu huyu

Namshairi hapa tulipofikia. Mzee hioo seneti inafanyaa comedy

Wana hukumu tayari washapewa maelekezo

So ushauri tu. Mzee wetu mpaka sasa hali sio nzuri hata ukirudi hao si wazuri tena kwakoooo

Kama huamini kaulize familia ya saitoti watakwambiaqq

Haya sio mambo ya kukomqq nayoo kumbuka una familia mzee wangu

Hizi hospt unazoenda kulazwa hawatokuacha salamaqa

Nakuwish all best n ur decision
Acheni kuna Mali za umma
 
M nikiwaona wapuuzi na mutusi wake pale zile docs za kaka mtu zikionyesha mali zote wanazopigia kelele n za kaka mtu

Kingine walikuwa wajinga

Kuna heka walitaja za gashwagwa 35 akawajibu angalia na upuuzi wao hata hawakufanya utafiti n hj 45
Zangu 10 kaka 35 na familia yake

Yaan hatakama n zake jamaa alijiandaa mapema na hakims principle

Wanajiona wajinga wamengania kumdharau rais n admn zake...ooh kuongoza g.z huyu bwana ana uwezo hata wakumtoa ruto

Kama maandamano kidogo akakimbilia handshake yaaan unaapa kwa jina la Nungu hutoshirikisha watu wa handshake leo unajizalilisha

Wanasiasa sio wa kuwaamini

Sasa kama alikuwa na iwezo wa aina hii
 
Back
Top Bottom