Naibu Rais Gachagua augua ghafla na kupelekwa hospital Muda mfupi kabla hajaanza kutoa ushahidi

Spika wetu kawapiga mabeberu ngumi ya chembe juzi kati.


Ila yeye akirudi hataki mtu aseme asichotaka kusikia.

Ila amenifurahisha....kumbe anajua kugombeza kwa kiingereza?
Hahahaha we jamaa, eti kumbe anajua kugombeza kwa kiingereza..😀😀😀
 
Kwa wanasheria hili wala hatulishangai, katika kutoa ushahidi kuugua pia hutumika kama delaying tactics za kujipanga vizuri katika kutoa ushahidi, hasa ukishazsoma hoja za upande wa pili,inakupa nafasi ya kujipnga zaidi na kuchambua kile walichowasilisha
 

Naona seneti imemgomea Gachagua. Wameamua kuendelea
 
Yoyote alienkaribu na mzee wangu huyu

Namshairi hapa tulipofikia. Mzee hioo seneti inafanyaa comedy

Wana hukumu tayari washapewa maelekezo

So ushauri tu. Mzee wetu mpaka sasa hali sio nzuri hata ukirudi hao si wazuri tena kwakoooo

Kama huamini kaulize familia ya saitoti watakwambiaqq

Haya sio mambo ya kukomqq nayoo kumbuka una familia mzee wangu

Hizi hospt unazoenda kulazwa hawatokuacha salamaqa

Nakuwish all best n ur decision
 
Akifanya mchezoooo ataishiaaa hosptalini hawajuii vizuriii
 
Acheni kuna Mali za umma
 
Kumbe wa Kenya ni wapuuzi sana! siasa za kikabila daily!!!

hovyoo kabisa
 
M nikiwaona wapuuzi na mutusi wake pale zile docs za kaka mtu zikionyesha mali zote wanazopigia kelele n za kaka mtu

Kingine walikuwa wajinga

Kuna heka walitaja za gashwagwa 35 akawajibu angalia na upuuzi wao hata hawakufanya utafiti n hj 45
Zangu 10 kaka 35 na familia yake

Yaan hatakama n zake jamaa alijiandaa mapema na hakims principle

Wanajiona wajinga wamengania kumdharau rais n admn zake...ooh kuongoza g.z huyu bwana ana uwezo hata wakumtoa ruto

Kama maandamano kidogo akakimbilia handshake yaaan unaapa kwa jina la Nungu hutoshirikisha watu wa handshake leo unajizalilisha

Wanasiasa sio wa kuwaamini

Sasa kama alikuwa na iwezo wa aina hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…