Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hao covid -19 hawana hadhi ya kibunge maana walishavuliwa uanachama wa cdm.Hizi lugha hazijengi. Tutumie lugha za 'kibunge'/staha.
Kama unawapa wewe hadhi basi wape wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao covid -19 hawana hadhi ya kibunge maana walishavuliwa uanachama wa cdm.Hizi lugha hazijengi. Tutumie lugha za 'kibunge'/staha.
Huu ni muendelezo wa ufisadi tu maaana wanalipwa malipo yasiyo stahili.Covid19 ni wabunge wa Ndugai. Na Ndugai yupo juu ya Katiba. So, wacha waendelee kula mema ya nchi.
Sheria siyo msahafu wakati wowote inaweza kubadilishwa na akashitakiwa kwa ufisadiMwenzako Ndugai kajiwekea kinga ingawa sio mwisho wa yote.
waavunja katibaHao covid -19 hawana hadhi ya kibunge maana walishavuliwa uanachama wa cdm.
Kama unawapa wewe hadhi basi wape wewe.
Sidhani....Nahisi Kuna namna alitaka kuchokonoa mada na amefanikiwa kwa kiasi fulani.Mbunge hajielewi kabisa
Kwani kuama cha bei ganiTulia endelea kuwafanganya wananchi. Halima mdee kwà mfano 2025 anaelekea wapi? Na kwà chama gani?au utampa jumbo la mbeya mjini? Halima bado ni mdogo kwà umri na hana ajira nyingine ataelekea wapi? Bora uwaeleze mapema kuwa hawana chama ilinwaanze kuhipanga kisiasa na kimaisha. Wengine waanze kuolewa au la.
Rais Samia Suluhu, Mungu ambariki sana huyu mama! Kweli uchungu wa mwana aujua Mama Mzazi. Kwa hotuba ya Rais SSH jana Bungeni, she's gonna reverse the situation completely!!! Tayari imeonesha nia ya kukutana na vyama pinzani kujadili huu upuuxi wa Wabunge 19 wa Ndugai na Kigagula Tulia..............!!!!Staki kuamini Kama bunge halina taarifa za kuvuliwa uanachama kina Jesca na wenzake, ila wakumbuke tu kuwa hi ni awamu nyingine kabisa. Kuna kila dalili wanaweza kutimuliwa mjengoni
alichozungumza kishoa ndiyo hali halisi, Si wabunge wa CHADEMA , hawana chmama, wanakula fedha za matajiri walipa kodi wa hii nchi bila huruma.Mbunge Kishoa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amelalamikia kunyimwa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa kabla hajaondolewa kwenye chama chake. Naibu spika akalazimika kuingilia kwa kusema haihitaji kuwa naye bungeni kama hana chama cha Siasa kwani ni takwa la kuwemo bungeni...
Hahaha wewe nani wa kuzuia kula mema ya nchiCovid19 ni wabunge wa Ndugai. Na Ndugai yupo juu ya Katiba. So, wacha waendelee kula mema ya nchi.
YES TANGU NOVEMBER MWAKA JANA NA NDU GAY ALII SLAM VIBAYA SANA AKISEMA IMEJAA MAJUNGUKwa lipi Mkuu, una uhakika walipokea barua ya CDM?
Nafkiri amejuta kusema walifutwa uanachama gafla hiyo kauli mara ingemlaza na njaa lakini Naibu spika amempenda kumpa tena nafasi kufuta kauli, kumbe hawa Covid19 wanajua fika wapo bungeni kwa msaada wa Spika tu sio vyenginevyo, siku Ndugai akiamka vibaya wataenda zao njeMbunge Kishoa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amelalamikia kunyimwa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa kabla hajaondolewa kwenye chama chake. Naibu spika akalazimika kuingilia kwa kusema haihitaji kuwa naye bungeni kama hana chama cha Siasa kwani ni takwa la kuwemo bungeni...