Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya Spika haina taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako

Hizi lugha hazijengi. Tutumie lugha za 'kibunge'/staha.
Hao covid -19 hawana hadhi ya kibunge maana walishavuliwa uanachama wa cdm.

Kama unawapa wewe hadhi basi wape wewe.
 
Akina Msukuma Class-7 a.k.a LY wanaposema Maprofesa na Madaktari wa Tanzania pengine WAMENUNUA VYETI .....!!!!

Naibu wa Spika ni Daktari wa Sheria! Namshangaa sana kuongea Uongo Bungeni kuhusu Mbunge Kishoa kuhusu UHALALI WA WABUNGE KUWA BUNGENI KAMA HAWANA CHAMA....!!!!

Pengine Angela kuwafafanulia Watz kuhudu UHALALI WA WABUNGE 19 TOKA CHADEMA AMBAO WAKO BUNGENI NA WALISHA FUKUZWA UANACHAMA NA CHADEMA KITAMBO. Kama hajui kuhusu hao COVID-19 basi amwulize bosi wake Ndugai ambaye anajua namna alivowaingiza hao mash**ga 19 pale Bungeni!!!
 
Kwani kuama cha bei gani
 
Staki kuamini Kama bunge halina taarifa za kuvuliwa uanachama kina Jesca na wenzake, ila wakumbuke tu kuwa hi ni awamu nyingine kabisa. Kuna kila dalili wanaweza kutimuliwa mjengoni
Rais Samia Suluhu, Mungu ambariki sana huyu mama! Kweli uchungu wa mwana aujua Mama Mzazi. Kwa hotuba ya Rais SSH jana Bungeni, she's gonna reverse the situation completely!!! Tayari imeonesha nia ya kukutana na vyama pinzani kujadili huu upuuxi wa Wabunge 19 wa Ndugai na Kigagula Tulia..............!!!!
Yajayo yanafurahisha.
 
alichozungumza kishoa ndiyo hali halisi, Si wabunge wa CHADEMA , hawana chmama, wanakula fedha za matajiri walipa kodi wa hii nchi bila huruma.
 
Aisee! Hii ni sawa mwanamke kaachika kwa talaka tatu ila haamini kama kaachika na bado anaipenda ndoa. Ha ha ha
 
Nafkiri amejuta kusema walifutwa uanachama gafla hiyo kauli mara ingemlaza na njaa lakini Naibu spika amempenda kumpa tena nafasi kufuta kauli, kumbe hawa Covid19 wanajua fika wapo bungeni kwa msaada wa Spika tu sio vyenginevyo, siku Ndugai akiamka vibaya wataenda zao nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…