Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

Nampongeza sana yule muathirika wa kwanza wa corona nchini mwetu aliyejitangaza bila kupepesa macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio watu waelewe Makonda sio kichaa na hatafuti kiki kwa wanao mmbeza he is trying to save lives kutokana na anachokijua Dar.
Du, we jamaa una kumbukumbu kweli wewe? Huyu si ndio alitwambiaga kwamba tusiogope colona mbona tunatongoza wanwake na ukimwi UPO!? Fananisha na wengine, sio huyu jamaa yako aliyekalia kiti kwa Bahati na sio uwezo
 
Atakuwa wa CCM huyo, maana angekuwa wa Chadema wangeshamtaja kwa jinsi wanavyowatakia mabaya wabunge wa Chadema.

Mungu hadhihakiwi kamwe!
 
Nafikiri wangetangaza jina lake ili kama kuna mtu yeyote aliyekutana naye (au na mtu wake wa karibu mf. dereva, mke/mume) siku za karibuni aanze kuchukua hatua za tahadhari. Vinginevyo huu ugonjwa utasambaa bila sababu ya msingi
 
QUOTE="Ivonovsky da White, post: 35052321, member: 100125"]
Hawaja mtaja jina bado

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
ni yule aliyeiba kura waziwazi mmmhh.....haya bana!!

Stay home, nawa mikono yako mara kwa mara...
 
Papaa Mobimba,
Viongozi wetu ni wapuuzi wasio na busara, wanazuia mikusanyiko ya michezo na sanaa na kuruhusu ya dini, wanazuia kula kwenye mikahawa lakini wanaruhusu kunywa kwenye baa, maana yake nini? Wacha wajifunze hatari ya korona, acha waipate na kupata akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…