Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

All in all,mikusanyiko, ikiwemo ya vikao vya Bunge,ndio huchangia kusambaa kwa maambukizi na hii ndio hoja ya msingi hapa.
Siungi mkono hoja hii. Rais anahamasisha tuchape kazi. Hivyo, yeye, mawaziri, wabunge wawe mfano kwa kuendelea na majukumu yao kama watanzania wengine.
 
Maajabu ni kwamba, huyo mbunge wamemgundua kuwa na Corona huko Dodoma siku tano zilizopita lakini mpaka leo hii waziri wa Afya hajatuambia kama Dodoma kuna Corona tayari.

Sijui tunafichwa nini?
Na tutafichwa mpaka lini?
Wanaogopa watalii wasijewakaacha kwenda dodoma
 
Waziri husika yuko wapi atuambie kuhusu na Watanzania wengine amekua kimya sana.
Kwa Tulia yupo kwenye ile list ya wazungumzaji wa corona.
Matarajio yangu Mh. Waziri angesimama leo kutupa 'update' ya corona.
 
Waswahili walisema mzaha mzaha .......
 
Maajabu ni kwamba, huyo mbunge wamemgundua kuwa na Corona huko Dodoma siku tano zilizopita lakini mpaka leo hii waziri wa Afya hajatuambia kama Dodoma kuna Corona tayari.

Sijui tunafichwa nini?
Na tutafichwa mpaka lini?
Ni shida kubwa sana. Watu wanatangaza kumuomba Mungu kwa siku tatu alafu wanaishi maisha ya kishetani ya kutowaambia wananchi ukweli. Shetani ni baba wa uongo na Mungu ni Baba wa ukweli.

waache waendelee kumdhihaki Mungu watapata majibu yake.
 
Dah! Nilikuwa na safali ya kwenda Dar ila kwa jinsi kirusi kinavyo jimwambafaih huko nimegaili🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶
 
Wazungu mnaowategemea lockdown imewashinda sasa wanarudi kazini na maambukizi yakiwa yanaendelea na watu wanakufa bado sembuse Tanzania?

Tiba hakuna, chanjo hakuna halafu unataka lockdown, tutafungiwa mwaka mzima na mwisho wake ni nini?

Kazi ziendelee kama kawaida huku tukichukua tahadhali kwa namna ambavyo wataalamu wa afya wanashauri
 
Nakwambia baada ya muda watalazimika kurudi tena kwenye lockdown maana hiyo ndio njia pekee ya kudhibiti huo ugonjwa.

Locdown sio jambo jepesi hasa kwa watu waliozoe kuwa huru na kuponda raha hivyo usiwashangae kuikataa ila narudia watalazimka tu kuiridia lockdown unless wako tayari kufa kama kuku waliokumbwa na kideri.

Pia kuna wakati utafika watu wajifungia ndani bila kusubiri amri ya serikali.
 
Sasa brother corona tufanyie ustaarabu basi.
Ujinga, umaskini na maradhi tuliyoyazoea Kama malaria bado Ni maadui zetu wakubwa.

Brother corona wew umekuja kupiga panapouma yaani hatuja maliza mtihani wa kwanza Vizur ukaja ukimwi huo mabaharia tumeuzoea mpaka wengine wanauza gem katka harakat za kula tunda kimasihara Ila sio mbaya maana huu ukimwi wengi wanaupata baada kupata utamu.

Sasa wew brother corona yaani mm nazurula tu kutafuta maisha Tena nmechoka unanivamia Daaaah sio fair kabisa brother .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio watu waelewe Makonda sio kichaa na hatafuti kiki kwa wanao mmbeza he is trying to save lives kutokana na anachokijua Dar.
 
Kwa speed hii ya kusambaa kwa Corona, mzee Meko atazidi kugoma kutoka Chato.
 
Bimadamu hatuma shukurani.

Bunge lingesogezwa mbele kwa wagonjwa 5 mmesema anataka kuahirisha uchaguzi leo kakomaa ili Bunge liishe Kwa wakati imekuwa nongwa.

Issue hapa ni Wabunge Wapimwe wote halafu wale wazima waendelee na vikao. Salary Slip

2020
 
Back
Top Bottom