sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
Yaani sehem nyingine watu wanakufa 1500+ kwa siku moja. Kisha unasema ni ugonjwa Wa kawaida, wewe utakua na matatizo si bureCorona ni ugonjwa wa kawaida Mkuu, sema Wazungu wame overreact na sisi temepokea hivyo Hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app