Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

March 24, 2020

Mnyororo unaoweza kusababisha maambukizi

Hawa waliowasili kutoka nje wanawasili na kuwekwa ktk hoteli za binafsi mfano hoteli ya Peacock mtaa wa Lumumba kulipo ofisi ndogo ya CCM makao makuu Dar es Salaam .


Scenario 1 :Mfanyakazi wa Peacock Hotel anaenda kupiga soga na Polepole ktk mitaa ya Lumumba jijini Dar. Baadaye Polepole anakwenda kikazi Dodoma. Ana mkutano na mawaziri kupima utekelezaji wa sera za CCM zilizomo ktk ilani ya ahadi za CCM.

Mawaziri wanaitwa na Waziri Mkuu katika kikao na mawaziri wake kupanga mikakati ya kupambana na coronavirus.




Scenario 2: Wanaowasili toka nje wanapelekwa shule ya Mgulani JKT. wanawekwa karantini siku 14 chini ya ulinzi wa kijeshi wa SUMA. Askari wa SUMA wenye nidhamu hakuna kutoka nje ya kambi korona imedhibitiwa kisawasawa isisambae.
 
Write your reply...Serikali ingekua na akili ingewaweka Karantini wabunge wote had wahudumu na walinzi wa bunge.
 
Nimeona Ambulance na gari la Waziri mmoja likilisindikiza, lakini waziri akiwa kwenye gari lake na msaidizi wake
 
Hivi anaruhusiwa kutoa taarifa za corona! Mbona rais hakumtaja kwenye ile list?
 
Back
Top Bottom