Hakuna haja ya kumficha! Kwani akifa wataficha tena? Papaa Mobimba,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah wa kawaida sana. Tuchape kazi mwamba.
Corona ni ugonjwa wa kawaida Mkuu, sema Wazungu wame overreact na sisi temepokea hivyo Hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar- siyo- saalamaKwa mujibu wa maelezo ya mbunge huyo ni kwamba alisafiri kwenda Dar es Salaam siku za karibuni, na aliporejea Bungeni siku ya Jumatano alianza kujisikia dalili kama zilizotangazwa na wataalamu kuhusu Virusi vya Corona na baadaye alithibitishwa kupata maambukizi ya Corona
Ugonjwa na kifo, kwa mtu mwenye akili, siyo kitu cha aibu. Mtu yeyote kuwa mzima au mwenye afya njema, hawezi kujisifu kuwa ni kwa sababu ni mwerevu au mwema sana.hahaaaa unyanyasaji upi mkuu. Any way hakuna haja ya kumtaja mgonjwa hadharani bila ridhaa yake.
Ugonjwa ambao kwa nchi moja na ndani ya siku moja unaua watu zaidi ya 900 unasema wame overreact!Corona ni ugonjwa wa kawaida Mkuu, sema Wazungu wame overreact na sisi temepokea hivyo Hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugonjwa ambao kwa nchi moja unaua watu zaidi ya 900 unasema wame overreact!