Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Kabisa angekuwa CHADEMA wangemtaja jina ila ni wa kwao wamepiga kimya!!Huyo atakuwa wa kijani angekuwa wa upande wa pili wangemtaja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa angekuwa CHADEMA wangemtaja jina ila ni wa kwao wamepiga kimya!!Huyo atakuwa wa kijani angekuwa wa upande wa pili wangemtaja
Kwani mbowe aliugua Corona mtoto wa mbowe ndio aliugua au wewe unamsema mbowe wa kisarawe
Mbowe ni wa CHADEMA ukiona mbunge hatajwi ujue huyo ni wa CCM maana akitajwa isije mwingine asiyetakiwa kutajwa ikalazimika kutajwa akiadhirika karibuni kama siyo tayari. Awamu hii mum is the word!
Ugonjwa na kifo, kwa mtu mwenye akili, siyo kitu cha aibu. Mtu yeyote kuwa mzima au mwenye afya njema, hawezi kujisifu kuwa ni kwa sababu ni mwerevu au mwema sana.
Serikali imefanya kosa kubwa sana kupeleka taswira kwa wananchi kuwa ugonjwa huu au kifo kinachotokana na ugonjwa, ni kama aibu ya aina fulani. Sielewi kwa nini kumejengwa mazingira ya namna hii.
Sure...........Tunawaombea wabunge wa Chadema Mungu awalinde. Maana akifa mmoja tuu kati yao ambao wamegoma kuunga juhudi za mauaji ni hasara kubwa sana kwa taifa.
In God we trust.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombea yawe maccmMbunge amekalia kuti kavu..na hapo bungeni lazima atasepa na wenzake wakutosha tu.