Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

Corona ni ugonjwa wa kawaida Mkuu, sema Wazungu wame overreact na sisi temepokea hivyo Hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamarekani kuna siku hapo walikufa zaidi ya 6000 kwa siku, bro its 6000 peoples, sio kuku ni watu, Magu alisema ni upepo tu unapita, sasa anasema tumwombe mungu siku 3, watoto hawaendi shule na wana vyuo wapo nyumbani, ajira watu wanapoteza, uchumi wa dunia una dorora, dar es salaam sasa ni lazima kuwa na mask, usiseme ni kawaida.
 
Hahaaaa unyanyasaji upi mkuu. Any way hakuna haja ya kumtaja mgonjwa hadharani bila ridhaa yake.
Angekuwa wa upinzani wangemtaja kama walivyomtaja mtoto wa Mbowe.
 
Hahaaaa unyanyasaji upi mkuu. Any way hakuna haja ya kumtaja mgonjwa hadharani bila ridhaa yake.
Ingekuwa Bashite angemtaja ili kuwakinga wengine kama alivyowaokoa wakazi wa daa.
 
Haina haja kuogopa. Corona ni kagonjwa kadogo sana. Haina haja kupaniki, tuendelee kuchapa kazi tu. Uchumi wetu ni mzuri na by the way kuna nchi 8 zinategemea nchi yetu kwa bidhaa zao.
Hata UKIMWI haujawahi kutufanya tuache kutongoza.
 
corona kizaazaa..

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Haina haja kuogopa. Corona ni kagonjwa kadogo sana. Haina haja kupaniki, tuendelee kuchapa kazi tu. Uchumi wetu ni mzuri na by the way kuna nchi 8 zinategemea nchi yetu kwa bidhaa zao.

Ww sema hivo tu siku ukikupata utasaga meno! Kwenye corona hakuna siasa
 
Back
Top Bottom