naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajifungua hadi lini ikiwa wanakwambia tusitegemee tiba wala chanjo ndani ya mwaka mmoja?Nakwambia baada ya muda watalazimika kurudi tena kwenye lockdown maana hiyo ndio njia pekee ya kudhibiti huo ugonjwa.
Locdown sio jambo jepesi hasa kwa watu waliozoe kuwa huru na kuponda raha hivyo usiwashangae kuikataa ila narudia watalazimka tu kuiridia lockdown unless wako tayari kufa kama kuku waliokumbwa na kideri.
Pia kuna wakati utafika watu wajifungia ndani bila kusubiri amri ya serikali.
Inategemea upo upande gani wa sarafu. Kwamba imewaumbua wa upande fulani basi inakuwa na adabu. Lakini ikiwagusa wa kwetu inakuwa haina adabu. What a double standard?Duh...!.
Hii Corona haina adabu kabisa!.
P
Hatari mkuuMaajabu ni kwamba, huyo mbunge wamemgundua kuwa na Corona huko Dodoma siku tano zilizopita lakini mpaka leo hii waziri wa Afya hajatuambia kama Dodoma kuna Corona tayari.
Sijui tunafichwa nini?
Na tutafichwa mpaka lini?
Kusema alisafiri kwenda Dar es Salaam ni point kubwa sana. Tunaposema Dar itengwe hamelewi. Ona sasa huyu anaweza kuteketeza bunge zima na lodge anakolala