Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

Wapige kazi, muda wa maombi umeshaisha wachukue tu tahadhali kakolona ni kaugonjwa kadogo sana
 
Nakwambia baada ya muda watalazimika kurudi tena kwenye lockdown maana hiyo ndio njia pekee ya kudhibiti huo ugonjwa.

Locdown sio jambo jepesi hasa kwa watu waliozoe kuwa huru na kuponda raha hivyo usiwashangae kuikataa ila narudia watalazimka tu kuiridia lockdown unless wako tayari kufa kama kuku waliokumbwa na kideri.

Pia kuna wakati utafika watu wajifungia ndani bila kusubiri amri ya serikali.
Utajifungua hadi lini ikiwa wanakwambia tusitegemee tiba wala chanjo ndani ya mwaka mmoja?
 
Hata hivyo halijavunjwa bado wanaweza pitisha hali ya dharura na wakaliongolea pia
 
Salary Slip,
Alisogezwi mbele hata siku moja tunataka liishe tarehe 30/06/2020 twende kwenye uchaguzi ili mkanyolewe bila wembe ili November tuanze na chama cha upinzani kingine saccos hatuitaki tena.
 
Ndio maana mimi nilisema katika ugonjwa huu privacy isiwepo ili kila aliyekutana na mgonjwa ajijue sasa unadhani alipokuwa dar, safarini kurudi dar yeye na dereva wake wamekutana na watu wangapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema alisafiri kwenda Dar es Salaam ni point kubwa sana. Tunaposema Dar itengwe hamelewi. Ona sasa huyu anaweza kuteketeza bunge zima na lodge anakolala

Tuliandika humu kuwa ni busara kwa wabunge wote kupimwa kama wameambukizwa au la kwasababu kwa kazi yao wanachanganyika na wananchi wengi ; ingekuwa vyema wakawa wazima!! Hamkusikiliza ushauri na sasa huyo Mbunge aliyepatwa na COVID-19 alijichanganya na watu wangapi kabla ya kugundulika?

Kuna wabunge wenzie, mawaziri na hao mawaziri wakajichanganya na Waziri Mkuu na Waziri Mkuu pengine alikuwa na kikao na Rais na makamu wake!!!

Sasa kuliokoa Taifa; hakuna sababu ya kuficha watu ambao huyo Mbunge alichanganyika nao, pia kama kiongozi au mtu yeyote maarufu akipata ugonjwa huo sio busara kuficha kwani mnapofanya hivyo mnaliweka Taifa Katika hali ya hatari sana!!
 
Ndiyo maana hakuna press release or conference cos wabunge wakiwemo na mawazir watangazaji wanatakiwa kuwa karantini.

Tulisema bunge kuendelea kwa miezi mitatu hasa kuanza wakati huu ni tabu. Tazama sasa

Wapinzani nao hawajapinga wala kususia bunge kuonesha Nguvu ya bunge kuwa mapumzikon kuondoa msongamano, nao wanahudhuria.

Sawa kama ndivyo ilivyo
 
Hawavuki April hao lasivyo watajaa Hospitali ya Benja.
 
Tufuate masharti na ushauri wa wataalam wa afya, huu ugonjwa hauchagui yeyote
 
Back
Top Bottom