"Suala la bodaboda ni kero kubwa sana na hasa katika utumiaji wa sheria za barabara, mimi ni mtetetezi mkubwa sana wa bodaboda lakini matumizi yao kwenye barabara yanakatisha tamaa lazima muwe na mkakati maalum wa kudhibiti ajali wanazozifanya na lazima muwe na sheria kali za kuwadhibiti na hata kuwasimamisha, sababu ukienda MOI sasa hivi asilimia 90 ni vijana," - Mussa Azan Zungu
View attachment 2894963
Credit-EastAfricaTv
Lema alisema ni laana hiyo biashara"Suala la bodaboda ni kero kubwa sana na hasa katika utumiaji wa sheria za barabara, mimi ni mtetetezi mkubwa sana wa bodaboda lakini matumizi yao kwenye barabara yanakatisha tamaa lazima muwe na mkakati maalum wa kudhibiti ajali wanazozifanya na lazima muwe na sheria kali za kuwadhibiti na hata kuwasimamisha, sababu ukienda MOI sasa hivi asilimia 90 ni vijana," - Mussa Azan Zungu
View attachment 2894963
Credit-EastAfricaTv
Ambaye hataki kufuata sheria za barabarani na asitishwe tu, kutafuta kwako riziki hakutakiwi kuwa hatari kwa maisha ya wengine.Wakisimamishwa tutaishi vip mtaani huku...tutakabwa sana...
Tatizo la nchi hii ni kuendekeza siasa za hovyo.Kwenye kampeni bodaboda wasisumbuliwe.
Bungeni bodaboda wadhibitiwe..
Tatizo RUSHWA huyo aliepewa dhamana ya kusimamia ndio kwanza anajenga kupitia bukubuku zaoTatizo siasa za hovyo zimeiharibu hii nchi.
Zungu ameongea ukweli hawa vijana wa boda boda ni tatizo kubwa sana mabarabarani wanatakiwa kudhibitiwa kwa sheria kali mno ili waheshimu sheria za barabarani.
Wakisimamishwa tutaishi vip mtaani huku...tutakabwa sana...
Nilishaacha kupanda boda kitambo; bora nichape lapa!"Suala la bodaboda ni kero kubwa sana na hasa katika utumiaji wa sheria za barabara, mimi ni mtetetezi mkubwa sana wa bodaboda lakini matumizi yao kwenye barabara yanakatisha tamaa lazima muwe na mkakati maalum wa kudhibiti ajali wanazozifanya na lazima muwe na sheria kali za kuwadhibiti na hata kuwasimamisha, sababu ukienda MOI sasa hivi asilimia 90 ni vijana," - Mussa Azan Zungu
View attachment 2894963
Credit-EastAfricaTv
Aliyeongea ukweli ni Lema hao maccm wakawa wanamzodowa haya kiko wapi sasa?Tatizo siasa za hovyo zimeiharibu hii nchi.
Zungu ameongea ukweli hawa vijana wa boda boda ni tatizo kubwa sana mabarabarani wanatakiwa kudhibitiwa kwa sheria kali mno ili waheshimu sheria za barabarani.
Ila kiukweli kunahitajika mkakati madhubuti kwa hawa vijana. Aisee ajali ni nyingi. Halafu wengi wao hawafuati kabisa sheria za usalama barabarani.