passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Mkuu ITR,Tatizo siasa za hovyo zimeiharibu hii nchi.
Zungu ameongea ukweli hawa vijana wa boda boda ni tatizo kubwa sana mabarabarani wanatakiwa kudhibitiwa kwa sheria kali mno ili waheshimu sheria za barabarani.
Umenena vyema sana...
Tatizo linaanzia katika ni nani atasimamia hizo sheria?
Embu angalia mifano mingi, Mimi nikiwa nakuja kariakoo kazini kama nimekosa treni basi ni bodaboda au bajaji.
trafiki wanakamata halafu vijana wanatoa pesa na wanawaacha na tayari walishafahamu udhaifu wa Askari wa barabarani upo wapi.
unakuta kijana anasema hao hawasumbui ukimpa buku5 anashida.
Ni nani atasimamia hizo sheria kwa Hawa Polisi wa barabarani wenye vitambi vimejaa pesa za kuomba?