Naibu wa Nasrallah aihutubia dunia kuweka mustakabala wa vita Lebanon

Naibu wa Nasrallah aihutubia dunia kuweka mustakabala wa vita Lebanon

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Bila shaka Natenyahu naye alikuwa mbele ya runinga:

IMG_20241008_121005.jpg

Kwa muda wote hadi sasa Israel imeshindwa kusonga mbele kusini mwa Lebanon.

Uwezo wao uko pale pale, na mpambano kaskazini mwa Israel yamepanuka.

Hawajachagua kiongozi na kwa wakati wao watamchagua.

Kamwaga pongezi za kutosha kwa HAMAS, Houthi na Iran.

Hezbollah itapigana hadi tu, kuwe na ceasefire Gaza.
 
kidume huyu hapo...haya sasa kiongozi wa upinde benja utafanya nini sasa kujiona unawapiga kumbe unapigika wewe bila kujijua,na hao majasusi mnaotudanganya mliwaingiza kule miezi kadhaa walienda kufanya mlichowatuma kweli maana mission zenu zinafeli tu
 
Mbele ya runinga bila shaka bi Nyau macho yalikuwa yamemtoka kama mjusi aliyebanwa na mlango.
 
Ndio mjuee uwongo wa Israel huyu jamaa walituambia wamemuua katika shambulio huko Beirut.

Mkuu kumwua si taabu ila:

1. Israel wiki sasa, amesogea kiasi gani ndani kusini ya Lebanon?

2. Si kweli kuwa waisiraeli zaidi wamehama kaskazini mwa Israel?

3. Si kweli kuwa madai ya Hezbollah ni kusimama vita Gaza?
 
Ndio mjuee uwongo wa Israel huyu jamaa walituambia wamemuua katika shambulio huko Beirut.
Sio huyo wamesema yule Hashem Saif Din week nzima wanasema wamemuwa leo wanasema hawana uhakika kama wamemuwa 😄

Huyu pia walisema ka resigned wakatoa topic hapa nikamwambia mtoa mada punguza uwongo si kweli. Wengine wakasema hichi kizee kimeogopa kufa 😄

Kwa tarifa yao wajinga walio sema huyu ka resigned na wengine kaogopa nafasi ya kuwa kiongozi wa Hezbullah nawapa tu tarifa huyu ndio Kiongozi wa Hezbullah kwa sasa bada ya Nasurlah dalili hi hapa.

View: https://youtu.be/bhysZ8DQiFQ?si=NAQzN-nACicFHtxn
 
Kama hadi leo hujaelewa Hezbollah kaingia je, si tatizo lako ila upeo.

Ni kawaida mengine kutoyajua au hata kushindwa kuelewa.

Si ndiyo maana na mitihani ipo, au?
Kwamujibu wa Nasrallah aliingia Vita hii ili kuwapunguzia vita Hamas alifikiri huenda IDF wataachana na Gaza na wataenda Lebanon.
 
Back
Top Bottom