Naibu wa Nasrallah aihutubia dunia kuweka mustakabala wa vita Lebanon

Naibu wa Nasrallah aihutubia dunia kuweka mustakabala wa vita Lebanon

Bila shaka Natenyahu naye alikuwa mbele ya runinga:

View attachment 3118649

Kwa muda wote hadi sasa Israel imeshindwa kusonga mbele kusini mwa Lebanon.

Uwezo wao uko pale pale, na mpambano kaskazini mwa Israel yamepanuka.

Hawajachagua kiongozi na kwa wakati wao watamchagua.

Kamwaga pongezi za kutosha kwa HAMAS, Houthi na Iran.

Hezbollah itapigana hadi tu, kuwe na ceasefire Gaza.
Anajitutumia huku yuko shimoni
 
C
Sio huyo wamesema yule Hashem Saif Din week nzima wanasema wamemuwa leo wanasema hawana uhakika kama wamemuwa 😄

Huyu pia walisema ka resigned wakatoa topic hapa nikamwambia mtoa mada punguza uwongo si kweli. Wengine wakasema hichi kizee kimeogopa kufa 😄

Kwa tarifa yao wajinga walio sema huyu ka resigned na wengine kaogopa nafasi ya kuwa kiongozi wa Hezbullah nawapa tu tarifa huyu ndio Kiongozi wa Hezbullah kwa sasa bada ya Nasurlah dalili hi hapa.


View: https://youtu.be/bhysZ8DQiFQ?si=NAQzN-nACicFHtxn

Chama kama Hezbollah hakiwezi kukosa kiongozi hata siku Moja. Wao ni wanaharakati. Wanaharakati madhubuti wanajua kifo kwao ni swala la lazima na muda wowote.
Licha ya kuwa ni wateule Haitatokea hata siku Moja Israel ikaishi Kwa amani. Kila siku wataamkia vitani, Kila siku watapigana na haitakuja siku Hamas na Hezbollah watasema tumeshindwa! Haitatokea.
Aluta continua.
 
Degedege ya uzeeni ni hatari sana mkuu.

Yesu umfananishe na muuaji mpalestina?
Na magaidi ya Iran?

Fambaf zako kwa hasira

Wapi yesu kafananishwa na mtu?

Uliliona angalizo lakini au ulirukia kusoma tu?

Matendo ya Mitume 17:11 - 12 inasema waberoya waliyachunguza maandiko.

Kazi ya mikono si ya miguu. Ubongo una kazi yake. Na ndiyo hii sasa. Kuyachunguza maandiko.

Unayemwita gaidi anaweza kuwa anakuita gaidi. Nyani haoni ku*dule!

Ndiyo maana kujichukulia sheria mikononi ni upumbafu uliopitiliza!

IMG_20241009_121602.jpg


IMG_20241009_121633.jpg


IMG_20240508_164459.jpg


Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom