Kitu ilikua mubaashara al jazeera
kidume huyu hapo...haya sasa kiongozi wa upinde benja utafanya nini sasa kujiona unawapiga kumbe unapigika wewe bila kujijua,na hao majasusi mnaotudanganya mliwaingiza kule miezi kadhaa walienda kufanya mlichowatuma kweli maana mission zenu zinafeli tu
Ndio mjuee uwongo wa Israel huyu jamaa walituambia wamemuua katika shambulio huko Beirut.
Huyu jamaa situliambia ameuawa?
Naona leo wamempakaa nini sijui hatokwi jasho
Vita wameitafuta wenyewe hao Hezbola.Kwani wafu hutoa jasho? Labda alipo ni mfu.
Tambo hizi zilikuwa hivyo hivyo kwa Gaza! Leo kiko wapi?
Endeleeni kuwatia moyo hao magaidi dini wenu
Vita wameitafuta wenyewe hao Hezbola.
Sio huyo wamesema yule Hashem Saif Din week nzima wanasema wamemuwa leo wanasema hawana uhakika kama wamemuwa 😄Ndio mjuee uwongo wa Israel huyu jamaa walituambia wamemuua katika shambulio huko Beirut.
Hahaha wala hatetemiki kijemedari na kikomando kama netanyauNaona leo wamempakaa nini sijui hatokwi jasho
Kwamujibu wa Nasrallah aliingia Vita hii ili kuwapunguzia vita Hamas alifikiri huenda IDF wataachana na Gaza na wataenda Lebanon.Kama hadi leo hujaelewa Hezbollah kaingia je, si tatizo lako ila upeo.
Ni kawaida mengine kutoyajua au hata kushindwa kuelewa.
Si ndiyo maana na mitihani ipo, au?