jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Mkuu Jogi hapa ndipo pakuanzia, ungeweka tu details zote. hatua za kisheria zinatakiwa zianzie humu mkuu
Mkuu watajipanga na kuchakachua nyaraka.
Mkuu Jogi hapa ndipo pakuanzia, ungeweka tu details zote. hatua za kisheria zinatakiwa zianzie humu mkuu
Jogi una deni na taifa... kama unajua uovu kwanini uufiche?? au wewe pia ni mshiriki wa maovu?:emptybath:
Jina lake ni lameck madelu, hakika huyu ana kesi ya kujibu kwa kuvunja sheria inayomzuia mwanafunzi kukariri mtihani wa darasa la saba. alitumia jina la mwigulu nchemba ku-camouflage mtego huo. ili kuyarejesha majina yake yanayofahamika naamini aliapa kwa korti, sitoweka details nyingi zaidi kwani nasema huyu ana kesi ya kujibu!!!!! ikithibitika afutiwe vyeti vyake vyote. anakera kwa kufanywa wagon la rushwa!!!!!! kafika huko kirushwa rushwa.
Namfahamu toka akichunga vitoto vya mbuzi!
chuki zitakuua wewejina lake ni lameck madelu, hakika huyu ana kesi ya kujibu kwa kuvunja sheria inayomzuia mwanafunzi kukariri mtihani wa darasa la saba. Alitumia jina la mwigulu nchemba ku-camouflage mtego huo. Ili kuyarejesha majina yake yanayofahamika naamini aliapa kwa korti, sitoweka details nyingi zaidi kwani nasema huyu ana kesi ya kujibu!!!!! Ikithibitika afutiwe vyeti vyake vyote. Anakera kwa kufanywa wagon la rushwa!!!!!! Kafika huko kirushwa rushwa.
Namfahamu toka akichunga vitoto vya mbuzi!
Jina lake ni lameck madelu, hakika huyu ana kesi ya kujibu kwa kuvunja sheria inayomzuia mwanafunzi kukariri mtihani wa darasa la saba. alitumia jina la mwigulu nchemba ku-camouflage mtego huo. ili kuyarejesha majina yake yanayofahamika naamini aliapa kwa korti, sitoweka details nyingi zaidi kwani nasema huyu ana kesi ya kujibu!!!!! ikithibitika afutiwe vyeti vyake vyote. anakera kwa kufanywa wagon la rushwa!!!!!! kafika huko kirushwa rushwa.
Namfahamu toka akichunga vitoto vya mbuzi!
Jina lake ni lameck madelu, hakika huyu ana kesi ya kujibu kwa kuvunja sheria inayomzuia mwanafunzi kukariri mtihani wa darasa la saba. alitumia jina la mwigulu nchemba ku-camouflage mtego huo. ili kuyarejesha majina yake yanayofahamika naamini aliapa kwa korti, sitoweka details nyingi zaidi kwani nasema huyu ana kesi ya kujibu!!!!! ikithibitika afutiwe vyeti vyake vyote. anakera kwa kufanywa wagon la rushwa!!!!!! kafika huko kirushwa rushwa.
Namfahamu toka akichunga vitoto vya mbuzi!
Mwigulu amesoma ilboru-arusha kuanzia kidato cha 1-4 na kumaliza 2002. pia aliendelea na kidato cha sita mazengo-dodoma na kufanikiwa kumaliza 2004. kwa mwaka 2008 alikuwa akifanyia kaz bot mpaka 2010 alipochaguliwa mbunge. kwa sasa sifa yake kuu tukiachana na ubunge ni mzinzi mkubwa kama mwenzake adam malima aliyeibiwa kila kitu na changudoa hotelin morogoro.
chuki zitakuua wewe
chuki zitakuua wewe
"MWANADAMU ALIYEZALIWA NA MWANAMKE SIKU ZAKE ZA KUISHI SII NYINGI, TENA ZIMEJAA TAABU NA SHIDA" !!!!! SINA AHADI YA KUISHI NA MWILI HUU MILELE. labda mwenzetu umezaliwa na punda kihongwe!
Kabla hajaenda ilboru imesemwa alirepeat shule, kweli?
NDIO.lengo lake kubwa ilikuwa ni kubadili majina ili aitwe mwigulu lameck nchemba
Adam Kigoma Malima sio mwanasiasa, ni Fisadi.ADAM KIGHOMA MALIMA na MWIGULU LAMECK NCHEMBA ni miongoni mwa wanasiasa vijana na wasomi ambao ni damu mpya kwenye siasa za nchi yetu, ila wanzania wengi hatufahamu vizuri wapi walipotokea wanasiasa hawa kabla ya kufika hapa walipo. wadau, yeyote mwenye wasifu na historia za wanasiasa hawa vijana, naomba azimwage jamvini ili tupate kuwafahamu vizuri.
Umesema kweli, na palipo ukweli ndiko Mungu husimamia, kama Mwigulu alibadili majina kwa ajili ya kurudia shule na atokeze aseme ukweli, na wewe kama unamsingizia basi Mungu atakuwa upande wa Mwigulu!
NDIO.lengo lake kubwa ilikuwa ni kubadili majina ili aitwe mwigulu lameck nchemba
That much i know kuhusu hawa jamaa wawili!....Mi najua sifa moja kuwa wote ni wazinzi...
Mwigulu alifumaniwa na mke wa kada mwenzie pale Igunga where as Malima aliibiwa kila kitu na Changudoa pale Moro