Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

halafu amevaa kanzu kupotezea

dhambi haijifichi, hata sura yake inamsuta, huyu hafai uongozi

angekuwepo mzee kifimbo huyu angepelekwa exile nchi kama Macedonia,sijawahi kuona baraza la mawaziri la aina hii katika historia ya nchi hii, sijui haya mambo yataisha lini

wacha nikanywe Safari beer kiu imenizid sasa
 
Jamaa namuona mjanja wa town kumbe bado hajajua kwamba huwa wanaweka kwenye chakula ya mtoto? Mungu wangu wamekomba kila kitu ili asiweze kutoka nje na nadhani alilala hadi saa za mchana. vichanchide vimeishavuka mpaka tayari huenda vipo Florida 2000 vinasherehekea mafanikio baada ya mawindo yao kunasa! Na kama alikuwa na jiwe ndio amewapa utajiri.

Alitaka kuonyesha UFUNDI kwa changu huyu ***** nae!!UFUNDI KWA MKEO!!hao ni t****a kwa uangalifu!! ulale chonjo!!
 
halafu amevaa kanzu kupotezea

dhambi haijifichi, hata sura yake inamsuta, huyu hafai uongozi

angekuwepo mzee kifimbo huyu angepelekwa exile nchi kama Macedonia,sijawahi kuona baraza la mawaziri la aina hii katika historia ya nchi hii, sijui haya mambo yataisha lini

wacha nikanywe Safari beer kiu imenizid sasa

Kanywe tu hiyo safari lakini angalia na ww yasikukute!!
 
CHITAMBIKWA....!! Kuloa nyuma ni siri yake co rahisi kuizungumzia.Ila kama kila kitu kilikombwa hadi chupi we unadhani kweli kuna usalama? Kwa nini chupi uchukuliwe ?Its a message i suppose!
 
Malima mshamba angetuuliza wataalamu wa machangu ukifika naye geto mizigo yote unakabidhi reception na nguo zake

Mkuu

Umenifurahisha sana leo, kwa akili yake anadhani yule mjasiriamali wa Freemasons pale Moro alimkubali kwa sababu ni waziri, hakujua kuwa yupo kikazi zaidi!!!!!
 
Kuna dada jana katesa sana mitaa ya Mbeya jana, alichokozwa kupewa ofa bia moja akamwaga round kwa kundi lote, kanywesha ndume ile mbaya, sijui ndio Mmalima mwenyewe!!!!
 
Mazingira yanaonyesha alikuwa na mpango wa kando, usiku ktk mambo yetu akajifanya mtt na kuanza kunyonya maziwa ya huyo mwenzake, matokeo yake akapitiwa na usingizi mkubwa huku mwenzie akichukua vitu vya Mh ili akamui

Ndiyo ukweli wenyewe mkuu.
 
Hahaha, Tz inaendeshwa kihuni. Ina viongozi wahuni. Mfano, angalia huyo juu
 
:hand: Sitaki upuuzi huu nasema sitaki, hawa si ndo wale Nishati na Madini? wamezoea kutuongopea nasema leo hapana!!!!
 
ADAM KIGHOMA MALIMA na MWIGULU LAMECK NCHEMBA ni miongoni mwa wanasiasa vijana na wasomi ambao ni damu mpya kwenye siasa za nchi yetu, ila wanzania wengi hatufahamu vizuri wapi walipotokea wanasiasa hawa kabla ya kufika hapa walipo. wadau, yeyote mwenye wasifu na historia za wanasiasa hawa vijana, naomba azimwage jamvini ili tupate kuwafahamu vizuri.
 
Mwigulu Nchemba ni kama majina ya Kisukuma vile! Ila yeye anaongea Kinyiramba zaidi, ingawa inasemekana kuna wakati akiwa shule alikuwa akijifanya Msukuma ili apate influence yao kwenye uongozi alioukuwa akiutaka pale Mazengo. Niliwahi pia kusikia jimboni kwake walikuwa hawaelewi elewi vizuri ukoo wake tokana na majina, anyway haikufuatiliwa sana hasa ilizingatiwa kuwa Mtanzania anaweza akagombea mahali popote nchini mwake ilimradi akubalike. Ila sasa kwa kuwa naye ni verified member humu anaweza akaeleza vizuri zaidi. Kuhusu Malima kwa kweli ninavyofahamu yeye ni mtoto wa marehemu Kighoma Malima, so anatoka familia zile zileee.
 
Adam Malima ni mtoto wa Profesa Kighoma Ally Malima aliyewahishwa kaburini na Kikwete.
Mwigulu Mchemba ni Member wa Jf ajieleze mwenyewe! ngoja nika MP
 
Jina lake ni lameck madelu, hakika huyu ana kesi ya kujibu kwa kuvunja sheria inayomzuia mwanafunzi kukariri mtihani wa darasa la saba. alitumia jina la mwigulu nchemba ku-camouflage mtego huo. ili kuyarejesha majina yake yanayofahamika naamini aliapa kwa korti, sitoweka details nyingi zaidi kwani nasema huyu ana kesi ya kujibu!!!!! ikithibitika afutiwe vyeti vyake vyote. anakera kwa kufanywa wagon la rushwa!!!!!! kafika huko kirushwa rushwa.
Namfahamu toka akichunga vitoto vya mbuzi!
 
Mkuu Jogi hapa ndipo pakuanzia, ungeweka tu details zote. hatua za kisheria zinatakiwa zianzie humu mkuu
Jina lake ni lameck madelu, hakika huyu ana kesi ya kujibu kwa kuvunja sheria inayomzuia mwanafunzi kukariri mtihani wa darasa la saba. alitumia jina la mwigulu nchemba ku-camouflage mtego huo. ili kuyarejesha majina yake yanayofahamika naamini aliapa kwa korti, sitoweka details nyingi zaidi kwani nasema huyu ana kesi ya kujibu!!!!! ikithibitika afutiwe vyeti vyake vyote. anakera kwa kufanywa wagon la rushwa!!!!!! kafika huko kirushwa rushwa.
Namfahamu toka akichunga vitoto vya mbuzi!
 
Jogi una deni na taifa... kama unajua uovu kwanini uufiche?? au wewe pia ni mshiriki wa maovu?:emptybath:
 
hivi Mh. Naibu Waziri anatangaza lini kujiuzulu (au kutojiuzulu). ...maana ni saa saba sasa na sijasikia lolote kuhusu hili.

Hii itatusaidia kujua ni aina gani ya watu wanaoendesha nchi hii iliyojaliwa kila aina ya neema isipokuwa watu!
 
nimesikia wamekamata watu watano kwa kuhusika na huu wizi, isije kuwa Polisi wanafanya kazi ambayo itapelekea watu kupoteza kabisa imani na jeshi hilo.
 
nimesikia wamekamata watu watano kwa kuhusika na huu wizi, isije kuwa Polisi wanafanya kazi ambayo itapelekea watu kupoteza kabisa imani na jeshi hilo.

I can bet my whole year salary that the caught ones are all male.......kuthibitisha kwamba kiongozi wetu hakulala na mwanamke
 
Back
Top Bottom