Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Mkuu Jogi hapa ndipo pakuanzia, ungeweka tu details zote. hatua za kisheria zinatakiwa zianzie humu mkuu

Mkuu watajipanga na kuchakachua nyaraka.
 
Jogi una deni na taifa... kama unajua uovu kwanini uufiche?? au wewe pia ni mshiriki wa maovu?:emptybath:

Mkuu sikatai kuwiwa na taifa, nikuulize nawe usisite kunijibu, ushahidi dhidi ya mbunge wa nzega umetupatia matokeo gani angalau kwa sasa. wewe wajua ccm ni criminal organized group, usifikiri sijawahi fanya jitihada, na sitakata tamaa.
 

hapo kwenye nyekundu mkuu....huoni kuwa unatu-mwakyembe (richmond) wenzio sasa??
 
chuki zitakuua wewe
 

Wako wengi wa aina hii.
 
Mwigulu amesoma ilboru-arusha kuanzia kidato cha 1-4 na kumaliza 2002. pia aliendelea na kidato cha sita mazengo-dodoma na kufanikiwa kumaliza 2004. kwa mwaka 2008 alikuwa akifanyia kaz bot mpaka 2010 alipochaguliwa mbunge. kwa sasa sifa yake kuu tukiachana na ubunge ni mzinzi mkubwa kama mwenzake adam malima aliyeibiwa kila kitu na changudoa hotelin morogoro.
 

Haya bana! kazi kweli kweli!
 

Kabla hajaenda ilboru imesemwa alirepeat shule, kweli?
 
chuki zitakuua wewe

"MWANADAMU ALIYEZALIWA NA MWANAMKE SIKU ZAKE ZA KUISHI SII NYINGI, TENA ZIMEJAA TAABU NA SHIDA" !!!!! SINA AHADI YA KUISHI NA MWILI HUU MILELE. labda mwenzetu umezaliwa na punda kihongwe!
 
"MWANADAMU ALIYEZALIWA NA MWANAMKE SIKU ZAKE ZA KUISHI SII NYINGI, TENA ZIMEJAA TAABU NA SHIDA" !!!!! SINA AHADI YA KUISHI NA MWILI HUU MILELE. labda mwenzetu umezaliwa na punda kihongwe!

Umesema kweli, na palipo ukweli ndiko Mungu husimamia, kama Mwigulu alibadili majina kwa ajili ya kurudia shule na atokeze aseme ukweli, na wewe kama unamsingizia basi Mungu atakuwa upande wa Mwigulu!
 
NDIO.lengo lake kubwa ilikuwa ni kubadili majina ili aitwe mwigulu lameck nchemba

Kurepat ndio kosa tunaloliongelea, unaweza kubadili jina lako, si jina la baba yako achilia mbali jina la marehemu babu yako. fungua macho utaliona tatizo unless una damu ya njano!!!!!!!
 
Adam Kigoma Malima sio mwanasiasa, ni Fisadi.
 
Umesema kweli, na palipo ukweli ndiko Mungu husimamia, kama Mwigulu alibadili majina kwa ajili ya kurudia shule na atokeze aseme ukweli, na wewe kama unamsingizia basi Mungu atakuwa upande wa Mwigulu!

Nakuapia kwa kushika bible, na Mungu aniadhibu kama naongopa!
ajitokeze Mwigulu Aape kwa patano atakayesema uongo asimalize wiki kuishi.
 
NDIO.lengo lake kubwa ilikuwa ni kubadili majina ili aitwe mwigulu lameck nchemba

Ukiangalia kwenye profile yake ya Bunge inaonesha alisoma shule ya Msingi Makunda (sijui iko wapi? Singida ama Usukumani?), kuna yeyote anaijua shule hii vizuri? Kama yupo naomba aelekeze jinsi twaweza fikia mtu wa huko tupate uhakika zaidi, manake haya mambo bana kiasi yanasumbua unajua mtoto wa nyoka ni nyoka na kama ni kweli alinunua jina inabidi kiasi tuanze kufukunyua integrity yake ambayo watu tunaassume ipo safi. Unajua hata Mulugo - yule naibu waziri elimu, naye kimemtokea cha hivi hivi na ndiyo maana siku hizi anaonekana kunywea. Watu wa hivi ndiyo walikuwa wananyanganya watu haki zao za kusoma, ukizingatia zamani waliomaliza la saba ili kwenda Sekondari wanafunzi walikuwa WANACHAGULIWA baadhi tu ya waliofaulu. Ila pia hata mimi nimekuwa najiuliza sana huyu bana Nchemba mbona anaonekana mkomavu sana ukilinganisha na umri wake aliodeclare! Kuna walakini hapa! huyu sio kijana kama inavyosemwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…