Ukiangalia kwenye profile yake ya Bunge inaonesha alisoma shule ya Msingi Makunda (sijui iko wapi? Singida ama Usukumani?), kuna yeyote anaijua shule hii vizuri? Kama yupo naomba aelekeze jinsi twaweza fikia mtu wa huko tupate uhakika zaidi, manake haya mambo bana kiasi yanasumbua unajua mtoto wa nyoka ni nyoka na kama ni kweli alinunua jina inabidi kiasi tuanze kufukunyua integrity yake ambayo watu tunaassume ipo safi. Unajua hata Mulugo - yule naibu waziri elimu, naye kimemtokea cha hivi hivi na ndiyo maana siku hizi anaonekana kunywea. Watu wa hivi ndiyo walikuwa wananyanganya watu haki zao za kusoma, ukizingatia zamani waliomaliza la saba ili kwenda Sekondari wanafunzi walikuwa WANACHAGULIWA baadhi tu ya waliofaulu. Ila pia hata mimi nimekuwa najiuliza sana huyu bana Nchemba mbona anaonekana mkomavu sana ukilinganisha na umri wake aliodeclare! Kuna walakini hapa! huyu sio kijana kama inavyosemwa!
Shule ya makunda ipo kata ya kyengege, tarafa ya kinampanda wilaya ya iramba. ukitafuta kwa google map kyengege imeandikwa kengege, ni kama 60km kutoka singida mjini ukielekea mwanza. mwenye jina la mwigulu nchemba yupo hai na anafahamika. huwezi badili jina la marehemu babu yako, utampata wapi umuapishe.
"MWANADAMU ALIYEZALIWA NA MWANAMKE SIKU ZAKE ZA KUISHI SII NYINGI, TENA ZIMEJAA TAABU NA SHIDA" !!!!! SINA AHADI YA KUISHI NA MWILI HUU MILELE. labda mwenzetu umezaliwa na punda kihongwe!
Inawezeka aliyemchagua mhuni huyu kuwa kiongozi naye ni walewale! Haiingii akilini kwa kiongozi kuchukua USD 4000, kwenda "Out" kujivinjari na changudoa kisha kukombwa zote pamoja na nguo na nyaraka za serikali kisha akaachwa hivihivi bila kuwajibika au kuwajibishwa!aibu sana kwa taifa kuwa na viongozi wahuni kama huyu malima. Mwangalie midomo yake ?, kama tunakuwa na kiongozi wa nchi mzembe ambaye anachagua watu kama akina malima kuwa mawaziri, ndo mana tumefika hapa tulipo, aibu na inasikitisha sana!
Inawezeka aliyemchagua mhuni huyu kuwa kiongozi naye ni walewale! Haiingii akilini kwa kiongozi kuchukua USD 4000, kwenda "Out" kujivinjari na changudoa kisha kukombwa zote pamoja na nguo na nyaraka za serikali kisha akaachwa hivihivi bila kuwajibika au kuwajibishwa!
Kwani ana ndoa? Nimeuliza tu lakini.
hivi hili suala nalo liishie tu hivi hivi!?Kafiwa na mkewe! Twende mbele turudi nyuma kwa tunaomfahamu huyu jamaa huwa hatuamini mpaka sasa kwamba jamaa ni waziri. Yaani ni basi tu ila kwa kweli kuongozwa na rais aliyekosa aibu kama kikwete ni gonjwa baya kuliko ukimwi, inaniuma sana ni basi tu sina uwezo lakini! Ole wao.
Kwetu huku nani wa kumfunga paka kengele
Kwa wenzetu sawa ila kwetu bado sana hii kitu