Bado mnaogopa kutekwa, si mtaje jina ijulikane ?Hajafanya lolote jimboni.
Siku alipoibuka kaja na ng'ombe 500. Achinje wamchague.
Ng'ombe mmoja kumnunua na kumsafirisha na kumchinja na kumpika na vinywaji na kuandaa tukio kadirio la chini laki 8.
Laki nane X 500 = 400 milioni
Umepata wapi hela hiyo ya kuchoma siku moja, akajibu nimepewa na rafiki zangu wa Kituruki.
Yani umetudharau kiasi gani kutulisha nyama siku moja tukuchague. Umewapa nini Waturuki, mapori yetu ?
Mungu hadhihakiwi bana. Na Mungu sifa yake moja anaweza kumtumia yeyote kubeba ujumbe wake. Kuna haramia moja mikono imejaa damu za Wakristo, linaitwa Mtume Paulo. Mungu alikuja akamuinua, akamtumia.
Safari hii Mungu akalitumia kachero moja nguli la kuratibu chaguzi za CCM. Ndo lilikuwa in charge awamu ya tano.
This time likaingia fronti lenyewe jimboni. Likamghalagaza vibaya mno huyu naibu waziri na mgombea wa hela za Waturuki. Na nyama watu wamekula vile vile.
Mungu halali. Dharau ya nyama Mungu kalipa.
Acha ujinga hakukuwa na ulazima wa kuficha si ungemtaja tu kwamba huyo naibu Wazir ni Sagini na aliyempindua ni Mahera Kule Butiama?Hajafanya lolote jimboni.
Siku alipoibuka kaja na ng'ombe 500. Achinje wamchague.
Ng'ombe mmoja kumnunua na kumsafirisha na kumchinja na kumpika na vinywaji na kuandaa tukio kadirio la chini laki 8.
Laki nane X 500 = 400 milioni
Umepata wapi hela hiyo ya kuchoma siku moja, akajibu nimepewa na rafiki zangu wa Kituruki.
Yani umetudharau kiasi gani kutulisha nyama siku moja tukuchague. Umewapa nini Waturuki, mapori yetu ?
Mungu hadhihakiwi bana. Na Mungu sifa yake moja anaweza kumtumia yeyote kubeba ujumbe wake. Kuna haramia moja mikono imejaa damu za Wakristo, linaitwa Mtume Paulo. Mungu alikuja akamuinua, akamtumia.
Safari hii Mungu akalitumia kachero moja nguli la kuratibu chaguzi za CCM. Ndo lilikuwa in charge awamu ya tano.
This time likaingia fronti lenyewe jimboni. Likamghalagaza vibaya mno huyu naibu waziri na mgombea wa hela za Waturuki. Na nyama watu wamekula vile vile.
Mungu halali. Dharau ya nyama Mungu kalipa.
Alikuwa ni chizi gani huyu?Hajafanya lolote jimboni.

Hajafanya lolote jimboni.

Wabunge wetu walivyo matapeli utakuta hata hao ng'ombe katapeli wafugaji wadogo wadogo.Hajafanya lolote jimboni.
Siku alipoibuka kaja na ng'ombe 500. Achinje wamchague.
Ng'ombe mmoja kumnunua na kumsafirisha na kumchinja na kumpika na vinywaji na kuandaa tukio kadirio la chini laki 8.
Laki nane X 500 = 400 milioni
Umepata wapi hela hiyo ya kuchoma siku moja, akajibu nimepewa na rafiki zangu wa Kituruki.
Yani umetudharau kiasi gani kutulisha nyama siku moja tukuchague. Umewapa nini Waturuki, mapori yetu ?
Mungu hadhihakiwi bana. Na Mungu sifa yake moja anaweza kumtumia yeyote kubeba ujumbe wake. Kuna haramia moja mikono imejaa damu za Wakristo, linaitwa Mtume Paulo. Mungu alikuja akamuinua, akamtumia.
Safari hii Mungu akalitumia kachero moja nguli la kuratibu chaguzi za CCM. Ndo lilikuwa in charge awamu ya tano.
This time likaingia fronti lenyewe jimboni. Likamghalagaza vibaya mno huyu naibu waziri na mgombea wa hela za Waturuki. Na nyama watu wamekula vile vile.
Mungu halali. Dharau ya nyama Mungu kalipa.
Wabunge wetu walivyo matapeli utakuta hata hao ng'ombe katapeli wafugaji wadogo wadogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo na lenyewe ni lipumbavu lisilostahili ofisi yoyote ya umma. Kuna uwezekano mkubwa sana likateuliwa uwaziri wa TAMISEMIHalafu akatoa majibu mepesi mepesi, nimepewa hela na Waturuki.
Kwamba watu wa Butiama ni wana vjijiji ma primitive sana, hawajui mambo ya sheria na taratibu za hapa na kote duniani zinazopinga foreign money kwenye kampeni ya mtu ? Wamekupa madola yote hayo ili na wewe uje uwape nini na ubunge wako ? Unadanganya watu wazima kama ni vikaragosi tu ?
Bora lile ngwini la Tume ya Uchaguzi Iimemtia adabu
Siku yaja Hata watekaje wataogopa kufuatilia nyuzi, clip, mabandiko yanayo washawishi kufanya utekaji kama sponsor wao bado ana hamu na utekaji So close imekaribia!!!Bado mnaogopa kutekwa, si mtaje jina ijulikane ?
j.nne sabini!😁😁😂Nani huyo sijaelewa hii code makonda au
j.nne sabini😁🫢Bado mnaogopa kutekwa, si mtaje jina ijulikane ?
Wazanaki walikuwa wanahitaji jimbo lao lilirudi mikononi mwao. Heko Wilson MaheraThis time likaingia fronti lenyewe jimboni. Likamghalagaza vibaya mno huyu naibu waziri na mgombea wa hela za Waturuki. Na nyama watu wamekula vile vile.