Naibu Waziri Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' ni kirusi kwa ustawi wa michezo, Rais amtoe wizarani

Unajua sheria za maadili ya viongozi wa utumishi wa umma!! Au unaenda kipunda punda tu! Uku nilipo mwanasiasa kuwa karibu na mfanyabiashara kupitiliza lazima ufanyike uchunguzi! Bongo uchawa mwingi ndio maana mpaka leo hadi vyoo tu mashuleni kujenga mpaka msaada wa US aid.
Wewe upo wapi? Kuna Taifa kubwa kuzidi Marekani? Unadhani Trump NI mkulima?
 
Sasa mwana fa asiongee na watu wewe ndo ufurahi
Kwani uwaziri ni jela hapaswi kuongea na watu

Simba hawakuomba
Wenzao yanga wakaomba na aombaye hupewa kwaiyo Waziri angetoa msaada kwa watu wasiohitaji

Badala ulaumu viongozi wa mbumbumbu wasiojiongeza wewe unamlaumu Waziri

Ndo maana tutamheshimu Rage aliyewapa jina la mbumbumbu
Mambo mangapi ya kimsingi watanzania wanaomba lakini serikali inasema haina fedha! Huwezi kuelewa hoja yangu kwasababu za kipunda punda.
 
Mo kasha inunua Simba reference yeye mwenyewe
Huwezi kuinunuwa Simba wala Yanga, hao wafanyabiashara wanaachiwa waziendeshe tu na kutangaza biashara zao na wanatakiwa wazihudumie serikali haitowi pesa, ila kuna mazingira maalum mmiliki halisi wa hizo timu ndio huwa anajitokeza kutowa sapoti.
 
Tangu huyu ndugu anayeitwa Hamis Mwinjuma ,maarufu Mwana FA ateuliwe na Rais kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Michezo ameonesha kuwa hatoshi kuwa kwenye nafasi hiyo.

Ni mtu hatari kwa usalama na ustawi wa amani na utulivu wa nchi.

Tangu ateuliwe nafasi hiyo amekuwa anatumia muda mwingi kwenye ofisi za wafadhili wake pale posta kwenye jengo la Suremander tower kwa mfanyabiashara maarufu anaejulikana kama GSM.

Amekuwa anatumia ukaribu wake na mfanyabiashara huyo kwa kutumia nafasi yake ya Unaibu Waziri kutekeleza matakwa ya mfanyabiashara huyo bila kujali kuwa ni hatari kwa afya ya ustawi wa sekta anayoisimamia kama Naibu Waziri.

Sote tunajua GSM anamiliki na kufadhili baadhi ya vilabu vya michezo hasa mpira wa miguu, hivyo kitendo cha Naibu Waziri kugeuza ofisi za mfanyabiashara huyo kama nyumbani kwake, kunatishia uhai wa sekta ya michezo na hii inaweza kuleta sintofahamu na kutishia amani na ustawi na ustaarabu wa nchi yetu uliojengwa kwa miaka mingi.

Tangu Hamis Mwinjuma, apate nafasi hii ya Unaibu Waziri, timu inayomilikiwa kinyemela na GSM, Young African (Yanga) imekuwa ikipata upendeleo wa shahili dhahili kutoka Serikalini na hii inaleta sintofahamu kwa washabiki wa vilabu vingine vya michezo hasa Simba SC ambayo mashabiki wake wamevumilia hali hio kwa muda mrefu na sasa wameanza kutoka hadharani kulalamika

Hii ni hatari!! huu upendeleo kwa timu ya Yanga ni juhudi za Naibu Waziri huyo kumfurahisha GSM kwa manufaa yake.

Serikali isipokuwa macho na kuchukua hatua kwa Naibu Waziri huyu mwenye mahaba mazito na mfanyabiashara uyo (GSM) inawezekana ikaleta hatari kwa ustawi wa nchi yetu.

Mashabiki wa Simba wanaweza kuingia barabarani kuandamana kupinga upendeleo wa wazi wazi unaofanywa na Serikali kupitia Naibu Waziri huyo.

Kama Serikali inaona Yanga ndio Klabu pekee hapa nchini basi itangaze rasmi Watanzania wote wajue na sio kufanya upendeleo usio na afya kwa taifa letu. Wote tunajua taifa letu limegawanyika pande mbili za Simba na Yanga kwenye suala la michezo!

Haiwezekani Simba ambayo kwa miaka zaidi ya mitano inawakilisha taifa kwa mafanikio makubwa haijawahi kupewa sapoti yoyote na Serikali!! Ila Yanga ambayo imekuwa ikitia aibu taifa inapata misaada ya wazi na ya kificho kutoka serikalini kwa msaada wa Naibu Waziri huyo kwa manufaa anayojua yeye.

Serikali ya Rais Samia Suluhu ijitafakali na kumchukulia hatua Naibu Waziri huyu haraka kabla amani ya nchi haijatoweka! Washabiki wa Simba ni wengi nchi hii ni zaidi ya millioni thelathini.

Naibu Waziri kushinda kwenye ofisi za mfanyabiashara ni hatari! Inawezekana kuna biashara haramu inafanyika hapo maana si jambo la kawaida! Huyo Naibu Waziri ikitokea akawa Waziri kamili (MUNGU aepushie mbali) siri zote za vikao vya baraza la mawaziri zitakuwa wazi kama mapaja ya malaya kwenye ofisi za mfanyabiashara huyo.

Vijana wanaopata nafasi hizi za uongozi ni vyema kuzingatia maadili, waache tamaa za kutaka utajiri haramu wa haraka!

Kuna mengi sana mambo haramu juu ya Naibu Waziri huyu hafai kabisa na Rais amtoe kwenye nafasi hio kwa usalama wa nchi yetu.
Hivi kabla ya kuandika huwa unayatafakari kabisa unayoyaandika?
 
Kwa hiyo Nani mpuuzi sasa ndugu Mimi au wewe ambaye unajifanya kujua Sana imana selkali kama mzazi anabagua watoto wake
Kama Una toto kivita bangi tu Kwa nini uingie gharama kubwa ya kulisomesha badala ya kutumia nguvu kubwa Kwa Yule anayetaka kusoma?

Mwambieni Mwamedi atowe pesa asajili wachezaji wa daraja la juu.
 
Wewe upo wapi? Kuna Taifa kubwa kuzidi Marekani? Unadhani Trump NI mkulima?
Ungekuwa unamjua Trump vizuri usingekuja na majibu mepesi hivi! Najua bongo uwezi kula mpaka usifu! Hivyo sikushangai! Biashara za Trump zinajulikana na rekodi yake ya kulipa kodi inajulikana! Hata mshahara wake wa urais unajulikana na unakatwa kodi!
Uko bongo Rais mshahara wake unajulikana? Unakatwa kodi? Kumbe huna akili.
 
Tangu huyu ndugu anayeitwa Hamis Mwinjuma ,maarufu Mwana FA ateuliwe na Rais kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Michezo ameonesha kuwa hatoshi kuwa kwenye nafasi hiyo.

Ni mtu hatari kwa usalama na ustawi wa amani na utulivu wa nchi.

Tangu ateuliwe nafasi hiyo amekuwa anatumia muda mwingi kwenye ofisi za wafadhili wake pale posta kwenye jengo la Suremander tower kwa mfanyabiashara maarufu anaejulikana kama GSM.

Amekuwa anatumia ukaribu wake na mfanyabiashara huyo kwa kutumia nafasi yake ya Unaibu Waziri kutekeleza matakwa ya mfanyabiashara huyo bila kujali kuwa ni hatari kwa afya ya ustawi wa sekta anayoisimamia kama Naibu Waziri.

Sote tunajua GSM anamiliki na kufadhili baadhi ya vilabu vya michezo hasa mpira wa miguu, hivyo kitendo cha Naibu Waziri kugeuza ofisi za mfanyabiashara huyo kama nyumbani kwake, kunatishia uhai wa sekta ya michezo na hii inaweza kuleta sintofahamu na kutishia amani na ustawi na ustaarabu wa nchi yetu uliojengwa kwa miaka mingi.

Tangu Hamis Mwinjuma, apate nafasi hii ya Unaibu Waziri, timu inayomilikiwa kinyemela na GSM, Young African (Yanga) imekuwa ikipata upendeleo wa shahili dhahili kutoka Serikalini na hii inaleta sintofahamu kwa washabiki wa vilabu vingine vya michezo hasa Simba SC ambayo mashabiki wake wamevumilia hali hio kwa muda mrefu na sasa wameanza kutoka hadharani kulalamika

Hii ni hatari!! huu upendeleo kwa timu ya Yanga ni juhudi za Naibu Waziri huyo kumfurahisha GSM kwa manufaa yake.

Serikali isipokuwa macho na kuchukua hatua kwa Naibu Waziri huyu mwenye mahaba mazito na mfanyabiashara uyo (GSM) inawezekana ikaleta hatari kwa ustawi wa nchi yetu.

Mashabiki wa Simba wanaweza kuingia barabarani kuandamana kupinga upendeleo wa wazi wazi unaofanywa na Serikali kupitia Naibu Waziri huyo.

Kama Serikali inaona Yanga ndio Klabu pekee hapa nchini basi itangaze rasmi Watanzania wote wajue na sio kufanya upendeleo usio na afya kwa taifa letu. Wote tunajua taifa letu limegawanyika pande mbili za Simba na Yanga kwenye suala la michezo!

Haiwezekani Simba ambayo kwa miaka zaidi ya mitano inawakilisha taifa kwa mafanikio makubwa haijawahi kupewa sapoti yoyote na Serikali!! Ila Yanga ambayo imekuwa ikitia aibu taifa inapata misaada ya wazi na ya kificho kutoka serikalini kwa msaada wa Naibu Waziri huyo kwa manufaa anayojua yeye.

Serikali ya Rais Samia Suluhu ijitafakali na kumchukulia hatua Naibu Waziri huyu haraka kabla amani ya nchi haijatoweka! Washabiki wa Simba ni wengi nchi hii ni zaidi ya millioni thelathini.

Naibu Waziri kushinda kwenye ofisi za mfanyabiashara ni hatari! Inawezekana kuna biashara haramu inafanyika hapo maana si jambo la kawaida! Huyo Naibu Waziri ikitokea akawa Waziri kamili (MUNGU aepushie mbali) siri zote za vikao vya baraza la mawaziri zitakuwa wazi kama mapaja ya malaya kwenye ofisi za mfanyabiashara huyo.

Vijana wanaopata nafasi hizi za uongozi ni vyema kuzingatia maadili, waache tamaa za kutaka utajiri haramu wa haraka!

Kuna mengi sana mambo haramu juu ya Naibu Waziri huyu hafai kabisa na Rais amtoe kwenye nafasi hio kwa usalama wa nchi yetu.
Acha Undunduka we Kolo
 
Nyie makolo, haya yote yanakuja kisa usafirishaji wa mashabiki au nini.??
Wewe unajua GSM na Mwana FA wametoka wapi pamoja.??

Watu hawajakutana kisa unaibu waziri au utajiri wewe, watu wana historia zao huko nyuma kipindi hata wewe hujaijua JF. Acheni kudhani mnawajua watu, HAMUWAJUI.

Huo U naibu na utajiri utaisha ila ukaribu wao upo miaka na miaka.
Una maana ni wapenzi?
 
Hata MO ni muhuni tu,ninacho sisitiza viongozi wa umma waache kutumia vyeo vyao kwa manufaa yao na rafiki zao.
Kwa hiyo wasiwe na marafiki?. Vizuri uwe na ushahidi wa manufaa gani kanufaika nayo?. Vinginevyo ushabiki wako kwa mikia usiwapeleke kuumia kwa kila jambo
 
Inawezekana ila sio afya kwa ustawi wa siasa za Simba na yanga,itamletea shida hata uyo Madam president.
Ni kweli kabisa shida hawa viongozi wetu hawafanyi kazi kwa ueledi ni kujikomba komba tu kutetea matumbo yao sasa mfano kwa issue ya Simba na Yanga kama kiongozi alipaswa kubalance asionyeshe kaegemea upande gani

Lakini ndio Tanzania yetu ilivyo hovyo sana
 
Unge yaandika aya wakati Makonda kwa kutumia nafasi yake aliweza kuidhiofisha Yanga kwa kum buruza na kumbambikia mfadhili mkuu wa Yanga Yusufu Manji kesi za madawa ya kulevya ili Simba ipate nafuu baada ya ku Kaa miaka 5 mfululizo bila ubingwa.

Kitendo alicho fanya Makonda dhidi ya Manji kiliharibu maisha na biashara za Manji na kumfanya mpaka Sasa asitamani kabisa kuendelea kufanya biashara Nchini na kuhamisha mitaji na biashara zake.

Yanga pia waliathirika vibaya kwakua
tayari Manji alishafanya mapinduzi katika bajeti za uendeshaji wa timu ambapo ilifikia billion 1.3 kwa msimu.

Baada ya Makonda ku mdharilisha Manji kwa kutumia nafasi yake ki siasa akapewa nafasi ya kuwa mshauri wa MO ambaye ni rafiki yake mkubwa.

Makonda Kuna mechi alionekana akiwa katika bench la wachezji wa Akiba wa Simba pale Benjamin Mkapa kitu kilicho washangaza wadau wengi wa soka.

Baada ya Manji kuondoka Nchini Yanga iliathirika kwa kiasi kikubwa kwakua bajeti Yao haikuweza kufikia viwango vya Manji na kuanza kupitisha bakuli ili kuweza kuimarisha uendeshaji wa klabu iliyokua na Nyota wanao lipwa mishahara mikubwa

Baada ya Manji kuondoka ndipo MO aka anza kuibeba Simba kwa kuongeza bajeti za usajili na kufanikiwa kutwa makombe kadhaa.
Sasa Yanga wamepata Tajiri mwingine ambaye uwepo wake unaenda kuipoteza Simba Kwa rekodi za ndani na nje ya Nchi, anatokea mpuuzi anataka kuleta zengwe lisilo na kichwa Wala miguu.

Kwasasa hamtoweza kufanya kama Mwanzo kwakua Yanga imeji chimbia Chini Sana kukabiliana na vitu vya kipuuzi.
Baada ya gsm kuanza kuwekeza Yanga aliingia bifu kali sana na makonda
Simba wamshukuru sana makonda
 
Umaskini mbaya sana mpaka mtu anaanza kuona misaada ni haki yake
Kuna waziri wa Michezo simba damu,kuna waziri mkuu nae ni simba damu..rais wa tff ni simba damu..hawa wote wameshindwa kuisaidia Simba mpk lawama upeleke kwa mtu mmoja tu ambae nae ni Simba damu au una chuki zako binafs mkuu..au wivu unakusumbua???
 
Kwa majibu haya inaonekana wazazi wako walikosea kazi yao kwenye malezi yako! Pole sana,nikujuze sina wivu wala umaskini! Wazazi wangu walinipa malezi mazuri na elimu bora! Inawezekana sehemu nilipo kwenye ukoo wenu na wa mama yako,hakuna ambae amewahi kufika.
upo mkunduni na ni kweli ukoo wetu hawapo mikunduni
 
Tangu huyu ndugu anayeitwa Hamis Mwinjuma ,maarufu Mwana FA ateuliwe na Rais kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Michezo ameonesha kuwa hatoshi kuwa kwenye nafasi hiyo.

Ni mtu hatari kwa usalama na ustawi wa amani na utulivu wa nchi.

Tangu ateuliwe nafasi hiyo amekuwa anatumia muda mwingi kwenye ofisi za wafadhili wake pale posta kwenye jengo la Suremander tower kwa mfanyabiashara maarufu anaejulikana kama GSM.

Amekuwa anatumia ukaribu wake na mfanyabiashara huyo kwa kutumia nafasi yake ya Unaibu Waziri kutekeleza matakwa ya mfanyabiashara huyo bila kujali kuwa ni hatari kwa afya ya ustawi wa sekta anayoisimamia kama Naibu Waziri.

Sote tunajua GSM anamiliki na kufadhili baadhi ya vilabu vya michezo hasa mpira wa miguu, hivyo kitendo cha Naibu Waziri kugeuza ofisi za mfanyabiashara huyo kama nyumbani kwake, kunatishia uhai wa sekta ya michezo na hii inaweza kuleta sintofahamu na kutishia amani na ustawi na ustaarabu wa nchi yetu uliojengwa kwa miaka mingi.

Tangu Hamis Mwinjuma, apate nafasi hii ya Unaibu Waziri, timu inayomilikiwa kinyemela na GSM, Young African (Yanga) imekuwa ikipata upendeleo wa shahili dhahili kutoka Serikalini na hii inaleta sintofahamu kwa washabiki wa vilabu vingine vya michezo hasa Simba SC ambayo mashabiki wake wamevumilia hali hio kwa muda mrefu na sasa wameanza kutoka hadharani kulalamika

Hii ni hatari!! huu upendeleo kwa timu ya Yanga ni juhudi za Naibu Waziri huyo kumfurahisha GSM kwa manufaa yake.

Serikali isipokuwa macho na kuchukua hatua kwa Naibu Waziri huyu mwenye mahaba mazito na mfanyabiashara uyo (GSM) inawezekana ikaleta hatari kwa ustawi wa nchi yetu.

Mashabiki wa Simba wanaweza kuingia barabarani kuandamana kupinga upendeleo wa wazi wazi unaofanywa na Serikali kupitia Naibu Waziri huyo.

Kama Serikali inaona Yanga ndio Klabu pekee hapa nchini basi itangaze rasmi Watanzania wote wajue na sio kufanya upendeleo usio na afya kwa taifa letu. Wote tunajua taifa letu limegawanyika pande mbili za Simba na Yanga kwenye suala la michezo!

Haiwezekani Simba ambayo kwa miaka zaidi ya mitano inawakilisha taifa kwa mafanikio makubwa haijawahi kupewa sapoti yoyote na Serikali. Ila Yanga ambayo imekuwa ikitia aibu taifa inapata misaada ya wazi na ya kificho kutoka serikalini kwa msaada wa Naibu Waziri huyo kwa manufaa anayojua yeye.

Naibu Waziri kushinda kwenye ofisi za mfanyabiashara ni hatari! Inawezekana kuna biashara haramu inafanyika hapo maana si jambo la kawaida! Huyo Naibu Waziri ikitokea akawa Waziri kamili (MUNGU aepushie mbali) siri zote za vikao vya baraza la mawaziri zitakuwa wazi.

Vijana wanaopata nafasi hizi za uongozi ni vyema kuzingatia maadili, waache tamaa za kutaka utajiri haramu wa haraka!

Kuna mengi sana mambo haramu juu ya Naibu Waziri huyu hafai kabisa na Rais amtoe kwenye nafasi hiyo.
Huyu na Bashe ni wasanii, pseudo-smart. Wajanja wa mdomoni tu. Na nchi hawaoni.
 
Simba hawajawah omba msaada kwa serekali wanakauli mbiu yao wao sio ombaomba

Baada ya kuona Yanga wamekubaliwa ombi lao wanalalamika kama hamjaomba mlitegemea serekali iwape msaada bila kuomba

Kwenye maisha usijifanye jeuri nawakati ni kapuku tu ndo simba
Sio kwamba wewe ndio kapuku ndugu kapuku? Chotus Chama analamba milioni 40 kwa mwezi, haya wewe kapuku endelea kukaa hapo hapo kwa shem, utaisoma namba mamamaeh.
 
Serikali hai support michezo inachofanya ni kama kampeni za uchaguzi kwa CCM, wana malengo yao na wanataka mafanikio ya team hizi yaonekane kama serikali imechangia kiasi kikubwa na kwa kuwa team zetu zimejaa makada hili limewezekana kirahisi. Huwezi kusikia serikali imesaidia team ndogo sababu nia sio michezo ila ku score pilitical points basi, mengine ni harakati za kisiasa tu. FIFA kupiga stop serikali kuingilia michezo hawakuwa wajinga. Ni wakari wa serikali kujikita na sera bora za michezo tu iache uashabiki wa team hizi mbili. Tengeneza mazingira mazuri ili michezo yote iweze kusonga mbele.
Nimesikia wanazungumza leo kupitia yule jamaa anaeomgeaga kwa kuhamaki, kwamba serikali haiwez kukusaidia wewe unapeleka timu unafungwa goli 70 kwa 3,, au timu ndogo ndogo za michongo wanaenda kufungwa na kutia aibu nchi za watu. Hayo ndio majibu.
 
Back
Top Bottom