Naibu Waziri Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' ni kirusi kwa ustawi wa michezo, Rais amtoe wizarani

Mbona hujaeleza uhatari wenyewe uko wapi?. Uhatari huo kwa ustawi wa nchi ni wapi pana hatari. Sema tu una wivu kumuona kwa GSM,ila ungemuona kwa mo roho yako najua uaingesema neno. (Tafakari hili)
Unalia lia tred nzima lakini maudhui ya kilio chako ni yale yale tu. Hata ungewasirisha kwa mistari miwili tu ingetosha
 
Unge yaandika aya wakati Makonda kwa kutumia nafasi yake aliweza kuidhiofisha Yanga kwa kum buruza na kumbambikia mfadhili mkuu wa Yanga Yusufu Manji kesi za madawa ya kulevya ili Simba ipate nafuu baada ya ku Kaa miaka 5 mfululizo bila ubingwa.

Kitendo alicho fanya Makonda dhidi ya Manji kiliharibu maisha na biashara za Manji na kumfanya mpaka Sasa asitamani kabisa kuendelea kufanya biashara Nchini na kuhamisha mitaji na biashara zake.

Yanga pia waliathirika vibaya kwakua
tayari Manji alishafanya mapinduzi katika bajeti za uendeshaji wa timu ambapo ilifikia billion 1.3 kwa msimu.

Baada ya Makonda ku mdharilisha Manji kwa kutumia nafasi yake ki siasa akapewa nafasi ya kuwa mshauri wa MO ambaye ni rafiki yake mkubwa.

Makonda Kuna mechi alionekana akiwa katika bench la wachezji wa Akiba wa Simba pale Benjamin Mkapa kitu kilicho washangaza wadau wengi wa soka.

Baada ya Manji kuondoka Nchini Yanga iliathirika kwa kiasi kikubwa kwakua bajeti Yao haikuweza kufikia viwango vya Manji na kuanza kupitisha bakuli ili kuweza kuimarisha uendeshaji wa klabu iliyokua na Nyota wanao lipwa mishahara mikubwa

Baada ya Manji kuondoka ndipo MO aka anza kuibeba Simba kwa kuongeza bajeti za usajili na kufanikiwa kutwa makombe kadhaa.
Sasa Yanga wamepata Tajiri mwingine ambaye uwepo wake unaenda kuipoteza Simba Kwa rekodi za ndani na nje ya Nchi, anatokea mpuuzi anataka kuleta zengwe lisilo na kichwa Wala miguu.

Kwasasa hamtoweza kufanya kama Mwanzo kwakua Yanga imeji chimbia Chini Sana kukabiliana na vitu vya kipuuzi.
 
Toka uyu ndugu anayeitwa Hamis Mwinjuma,maarufu kama (mwana FA)ateuliwe na Rais kuwa naibu waziri wa wizara ya michezo ameonyesha kuwa hatoshi kuwa kwenye nafasi hio.
Ni mtu hatari kwa usalama na ustawi wa amani na utulivu wa nchi.

Toka ateuliwe nafasi hio amekuwa anatumia muda mwingi kwenye ofisi za wafadhili wake pale posta kwenye jengo la suremander towel kwa mfanyabiashara maarufu anaejulikana kama gsm.

Amekuwa anatumia ukaribu wake na mfanyabiashara uyo kwa kutumia nafasi yake ya unaibu waziri kutekeleza matakwa ya mfanyabiashara uyo bila kujali kuwa ni hatari kwa afya ya ustawi wa sekta anayoisimamia kama naibu waziri.

Sote tunajua mfanyabiashara uyo maarufu (gsm) ana miliki na kufadhili baadhi ya vilabu vya michezo! hasa mpira wa miguu, hivyo kitendo cha naibu waziri uyo kugeuza ofisi za mfanyabiashara uyo kama nyumbani kwake, kunatishia uhai wa sekta ya michezo na hii inaweza kuleta sintofahamu na kutishia amani na ustawi na ustaarabu wa nchi yetu uliojengwa kwa miaka mingi.

Toka uyu ndugu Hamis Mwinjuma,apate nafasi hii ya unaibu waziri,timu inayomilikiwa kinyemela na uyu mfanyabiashara ( gsm) Young African (yanga) imekuwa ikipata upendeleo wa shahili dhahili kutoka serikalini na hii inaleta sintofahamu kwa washabiki wa vilabu vingine vya michezo hasa Simba sc ambayo mashabiki wake wamevumilia hali hio kwa muda mrefu na sasa wameanza kutoka hadharani kulalamika, hii ni hatari!! huu upendeleo kwa timu ya yanga ni juhudi za naibu waziri uyo kumfurahisha uyo tajiri (gsm) kwa manufaa yake.

Serikali isipokuwa macho na kuchukua hatua kwa naibu waziri uyu mwenye mahaba mazito na mfanyabiashara uyo (gsm) inawezekana ikaleta hatari kwa ustawi wa nchi yetu.

mashabiki wa Simba wanaweza kuingia barabarani kuandamana kupinga upendeleo wa wazi wazi unaofanywa na serikali kupitia naibu waziri uyo.

Kama serikali inaona yanga ndio club pekee hapa nchini basi itangaze rasmi watanzania wote wajue na sio kufanya upendeleo usio na afya kwa taifa letu,wote tunajua taifa letu limegawanyika pande mbili za Simba na yanga kwenye suala la michezo!

Haiwezekani Simba ambayo kwa miaka zaidi ya mitano inawakilisha taifa kwa mafanikio makubwa haijawahi kupewa sapoti yeyote na serikali!! Ila yanga ambayo imekuwa ikitia aibu taifa inapata misaada ya wazi na ya kificho kutoka serikalini kwa msaada wa naibu waziri uyo kwa manufaa anayojua yeye.

Serikali ya Mh Rais Samia Suluhu ijitafakali na kumchukulia hatua naibu waziri uyu haraka kabla amani ya nchi haijatoweka! Washabiki wa Simba ni wengi nchi hii ni zaidi ya millioni thelathini.

Naibu waziri kushinda kwenye ofisi za mfanyabiashara ni hatari! inawezekana kuna biashara haramu inafanyika hapo maana si jambo la kawaida! Uyo naibu waziri ikitokea akawa waziri kamili (MUNGU aepushie mbali) siri zote za vikao vya baraza la mawaziri zitakuwa wazi kama mapaja ya malaya kwenye ofisi za mfanyabiashara uyo.

Vijana wanaopata nafasi hizi za uongozi ni vyema kuzingatia maadili, waache tamaa za kutaka utajiri haramu wa haraka!

Kuna mengi sana mambo haramu juu ya naibu waziri uyu hafai kabisa na mh. Rais amtoe kwenye nafasi hio kwa usalama wa nchi yetu.
Aliyewateua kasema hadharani, wale kwa urefu wa kamba zao kama yeye.
 
nashauri ungejikita kwa bidii kwenye kazi na majukumu yako ya kujipatia kipato, kuliko kung'ag'ana na kupoteza muda kumfatulia NW yuko wapi, na nani na anafanya nini 🐒

sasa hiyo si inakupa stress tu na gubu moyoni 🐒
 
Mbona hujaeleza uhatari wenyewe uko wapi?. Uhatari huo kwa ustawi wa nchi ni wapi pana hatari. Sema tu una wivu kumuona kwa GSM,ila ungemuona kwa mo roho yako najua uaingesema neno. (Tafakari hili)
Unalia lia tred nzima lakini maudhui ya kilio chako ni yale yale tu. Hata ungewasirisha kwa mistari miwili tu ingetosha
Hata MO ni muhuni tu,ninacho sisitiza viongozi wa umma waache kutumia vyeo vyao kwa manufaa yao na rafiki zao.
 
Tangu huyu ndugu anayeitwa Hamis Mwinjuma ,maarufu Mwana FA ateuliwe na Rais kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Michezo ameonesha kuwa hatoshi kuwa kwenye nafasi hiyo.

Ni mtu hatari kwa usalama na ustawi wa amani na utulivu wa nchi.

Tangu ateuliwe nafasi hiyo amekuwa anatumia muda mwingi kwenye ofisi za wafadhili wake pale posta kwenye jengo la Suremander tower kwa mfanyabiashara maarufu anaejulikana kama GSM.

Amekuwa anatumia ukaribu wake na mfanyabiashara huyo kwa kutumia nafasi yake ya Unaibu Waziri kutekeleza matakwa ya mfanyabiashara huyo bila kujali kuwa ni hatari kwa afya ya ustawi wa sekta anayoisimamia kama Naibu Waziri.

Sote tunajua GSM anamiliki na kufadhili baadhi ya vilabu vya michezo hasa mpira wa miguu, hivyo kitendo cha Naibu Waziri kugeuza ofisi za mfanyabiashara huyo kama nyumbani kwake, kunatishia uhai wa sekta ya michezo na hii inaweza kuleta sintofahamu na kutishia amani na ustawi na ustaarabu wa nchi yetu uliojengwa kwa miaka mingi.

Tangu Hamis Mwinjuma, apate nafasi hii ya Unaibu Waziri, timu inayomilikiwa kinyemela na GSM, Young African (Yanga) imekuwa ikipata upendeleo wa shahili dhahili kutoka Serikalini na hii inaleta sintofahamu kwa washabiki wa vilabu vingine vya michezo hasa Simba SC ambayo mashabiki wake wamevumilia hali hio kwa muda mrefu na sasa wameanza kutoka hadharani kulalamika

Hii ni hatari!! huu upendeleo kwa timu ya Yanga ni juhudi za Naibu Waziri huyo kumfurahisha GSM kwa manufaa yake.

Serikali isipokuwa macho na kuchukua hatua kwa Naibu Waziri huyu mwenye mahaba mazito na mfanyabiashara uyo (GSM) inawezekana ikaleta hatari kwa ustawi wa nchi yetu.

Mashabiki wa Simba wanaweza kuingia barabarani kuandamana kupinga upendeleo wa wazi wazi unaofanywa na Serikali kupitia Naibu Waziri huyo.

Kama Serikali inaona Yanga ndio Klabu pekee hapa nchini basi itangaze rasmi Watanzania wote wajue na sio kufanya upendeleo usio na afya kwa taifa letu. Wote tunajua taifa letu limegawanyika pande mbili za Simba na Yanga kwenye suala la michezo!

Haiwezekani Simba ambayo kwa miaka zaidi ya mitano inawakilisha taifa kwa mafanikio makubwa haijawahi kupewa sapoti yoyote na Serikali!! Ila Yanga ambayo imekuwa ikitia aibu taifa inapata misaada ya wazi na ya kificho kutoka serikalini kwa msaada wa Naibu Waziri huyo kwa manufaa anayojua yeye.

Serikali ya Rais Samia Suluhu ijitafakali na kumchukulia hatua Naibu Waziri huyu haraka kabla amani ya nchi haijatoweka! Washabiki wa Simba ni wengi nchi hii ni zaidi ya millioni thelathini.

Naibu Waziri kushinda kwenye ofisi za mfanyabiashara ni hatari! Inawezekana kuna biashara haramu inafanyika hapo maana si jambo la kawaida! Huyo Naibu Waziri ikitokea akawa Waziri kamili (MUNGU aepushie mbali) siri zote za vikao vya baraza la mawaziri zitakuwa wazi kama mapaja ya malaya kwenye ofisi za mfanyabiashara huyo.

Vijana wanaopata nafasi hizi za uongozi ni vyema kuzingatia maadili, waache tamaa za kutaka utajiri haramu wa haraka!

Kuna mengi sana mambo haramu juu ya Naibu Waziri huyu hafai kabisa na Rais amtoe kwenye nafasi hio kwa usalama wa nchi yetu.
Nimemsikia Msigwa akibwabwaja bila aibu kuwa timu inayosaidia na Serikali ni ile yenye mafanikio. Wakati hiyo yéyé ni Shabiki wa Yanga na kwa namna yoyote anamaanisha kuwa Yanga ndio inastahili msaada wa Serikali. Wakumbuke kuwa Mpira ni zaidi ya Siasa. Tutafikia hatua ya kutoana roho.
 
nashauri ungejikita kwa bidii kwenye kazi na majukumu yako ya kujipatia kipato, kuliko kung'ag'ana na kupoteza muda kumfatulia NW yuko wapi, na nani na anafanya nini 🐒

sasa hiyo si inakupa stress tu na gubu moyoni 🐒
Nimetoa tu ushauli na hatari iliyopo kwa wawaziri kujifungia kwenye vyumba vya wafanyabiashara,sina stress hata kidogo.
Najua uko bongo mnaishi kichawa ndio mpate tonge! Na hamna mapenzi na nchi yetu wala hamuoni hatari ya viongozi wa umma kujifungia vyumbani na wafanyabiashara wenye historia ya ukwepaji kodi
 
Watanzania wengi ni wachoyo, wabinafsi, wasiopenda maendeleo ya wengine (ingawa wao hawafanyi juhudi zozote za maaña kùjikwamua zaidi ya kuuza karanga kwa kijiko), wenye kupenda kuharibiana ugali, wasio na matumaini, sifa nyingine malizieni
 
Nimemsikia Msigwa akibwabwaja bila aibu kuwa timu inayosaidia na Serikali ni ile yenye mafanikio. Wakati hiyo yéyé ni Shabiki wa Yanga na kwa namna yoyote anamaanisha kuwa Yanga ndio inastahili msaada wa Serikali. Wakumbuke kuwa Mpira ni zaidi ya Siasa. Tutafikia hatua ya kutoana roho.
Wanajua ila hawajali kwakua ni wabinafsi.
 
Nimetoa tu ushauli na hatari iliyopo kwa wawaziri kujifungia kwenye vyumba vya wafanyabiashara,sina stress hata kidogo.
Najua uko bongo mnaishi kichawa ndio mpate tonge! Na hamna mapenzi na nchi yetu wala hamuoni hatari ya viongozi wa umma kujifungia vyumbani na wafanyabiashara wenye historia ya ukwepaji kodi
Okay umefanya vizuri mkuu,

nawe unafanya kazi maeneo hayo ama unamuona sana NW katika nyakati zipi 🐒

Je, haukua unamuona hapo kabla awe NW? ama hukua na hiyo time coz hakua kitu 🐒

hata na hivyo tutafatilia ili kujiridhisha, usikue na wasi, we relax tu sasa 🐒
 
Back
Top Bottom