MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini amesema kuwa serikali haihusiki na matukio ya moto yaliyotokea katika baadhi ya mikoa nchini na itawachukulia hatua watakaobainika kuhusika na matukio hayo.
Chanzo: itvtz
Endeleeni kudhani wote tu hatuna Akili.
Nitakuwa wa mwisho kuamini hili kwa sababu zangu Binafsi na Taarifa za ndani zilizopo
Chanzo: itvtz
Endeleeni kudhani wote tu hatuna Akili.
Nitakuwa wa mwisho kuamini hili kwa sababu zangu Binafsi na Taarifa za ndani zilizopo