Naibu Waziri Kihenzile: Sekta Binafsi Nunueni Ndege Mzilete Tanzania

Naibu Waziri Kihenzile: Sekta Binafsi Nunueni Ndege Mzilete Tanzania

Walimlazimisha Lawrance Masha Kurudi CCM kwa nguvu, Akarudi bado WAka hakikisha Fast Jet hawarushi ndege Tanzania.
Wakamfirisi wakafuraahi sasa leo wamebaki peke yao hawana biashara wanaanza kuwaadaa watanzania walete ndege.
 
“Ombi letu kama Serikali tunawaomba Sekta binafsi watusaidie kuja kuingia kuwekeza katika Sekta ya anga, nunueni ndege za kutosha kwasababu Air Tanzania peke yake haiwezi kununua ndege kwenye viwanja vyote vilivyopo Nchini” - Mhe. David Kihenzile
Mh. Waziri alikuwepo henzi za fast jet?
 
As before probably alikuwa na plan nzuri but hakuwa na washauri wazuri, matokeo yake ikaua biashara and probably ajira, lack of vision na proper planning bado ni tatizo kwa nchi yetu
Sorry Sir, sio kweli kabisa. Nchi hii ina uongozi mbaya sana wa kisiasa. Sisi tuliofanya kazi serikalini miongo kadhaa tumeshuhudia maamuzi ya ajabu sana ya viongozi. Fani zote zimekuwa na wataalamu wazuri sana wanaoandaa mipango makini sana. Lakini wao na kazi zao wamekuwa wakisukumiwa pembeni ili kurahisisha shughuli za ufisadi.

Halafu hicho kisingizio cha washauri wabaya ni pure BS! Sorry. Hakuna mjuzi wa sekta ya anga anayeweza kutoa ushauri wa ovyo kama ule wa kununua ndege bila mchanganuo wa shirika, mpango makini wa kibiashara na utekelezaji wake. Eti kufufua shirika!

Halafu mnatanguliza cash kwa kiherehere na kupewa order za watu wengine ambazo baadhi zilikuwa suspended sababu ya manufacturing flaws zinasubiri marekebisho!
 
Back
Top Bottom