Naibu Waziri: Mauaji yanayotokea nchini ni fedheha kwa taifa. Naagiza Polisi wayadhibiti

Yalipotokea miaka michache iliyopita, ikasemekana kuwa wauaji hao wanatumwa na Magufuli; sasa hivi wanatumwa na nani?
 
Yalipotokea miaka michache iliyopita, ikasemekana kuwa wauaji hao wanatumwa na Magufuli; sasa hivi wanatumwa na nani?

Wanatumwa na mfumo Magufuli. Huyo waziri yeye mwenyewe ni zao la mauaji kwenye uchaguzi chini ya Magufuli, sasa sijui ni fedheha gani anaongelea.
 
Bwana Naibu Waziri huna mamlaka ya kuwaagiza Polisi wanaowaweka ninyi CCM madarakani.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Nchi imepoteza uongozi wa haki, mbaya zaidi hata viongozi wa dini wameshindwa kusimama kwenye nafasi zao na wamegeuka kuwa wapambe wa wanasiasa na mifumo kandamizi. mwisho wa siku moral values zimetoweka katika jamii.
Hao wanaopewa jukumu la kukomesha mauwaji ndiyo watuhumiwa wa kwanza wa mauaji mengi hapa nchini. hawana moral credibility ya kusimamia jambo hili.
 
Fedheha haija anza leo.
Vile viroba tulivyo ambiwa vina toka Somalia haikuwa fedheha?
Watu kulala na njaa miezi mitano sio fedheha??

Umekalia maneno ya kijinga ooh viroba viroba, inakusaidia nini kwa mambo ya kale wakati tunajadili mauaji yanayoendelea sasa ni vipi Serikali inatakiwa kuwajibika wewe unakuja Na ngonjera za kijuha
 
Yaani muuaji awe sehemu ya kudhibiti uuaji??.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…