Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Yalipotokea miaka michache iliyopita, ikasemekana kuwa wauaji hao wanatumwa na Magufuli; sasa hivi wanatumwa na nani?Naibu waziri wa mambo ya ndani mh Jumanne Sigini amesema auwaji yanayoendelea nchini ni fedheha kwa taifa na amewataka askari polisi na vyombo vingine vya dola wayakomeshe.
Aidha naibu waziri amesema serikali haihusiku na matukio ya moto yaliyotokea mfululizo hususani kwenye masoko na kwamba masoko hayo ni mali ya serikali hivyo haina sababu ya kuyahujumu.
Source: ITV habari
Kwa mahojiano kamili tazama kipindi cha Dakika 45 saa 3:00 usiku huu