SI KWELI Naibu Waziri Mkuu amewekwa ili kuzuia kuvunjwa Baraza la Mawaziri

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Kifungu gani cha katiba kinasema waziri mkuu akijiuzulu baraza lote la mawaziri linavunjwa??
 
Kifungu gani cha katiba kinasema waziri mkuu akijiuzulu au akiondolewa na baraza zima la mawaziri linavunjwa?
 
Usitumie "kwa kawaida inafahamika", weka hicho kifungu cha katiba kinachosema hivyo.
 
Huyu sindio miezi kadhaa alifanya birthday yake na chiefmsoga gang marekani ,kwake biteko au Mimi nimeropoka
 
Hii inaweza kumaanisha waziri mkuu anapojiuzulu hadi kuteuliwa mwingine kunakuwa na ombwe katika vita vya mawaziri, vinakuwa wazi, ila anapoteuliwa mpya vinaacha kuwa wazi na mawaziri wanaendelea na kazi zao tu, labda wanaweza kuuhisha viapo vyao tu.
 
Kidini Maza ana bifu na jamaaa kaona kumtengua soo kaamua kuzugia tu
 
Nimekuelewa mkuu.
Lakini tukumbushane kwamba Lowasa alistaafu na hakujiuzulu.
Kwahivyo mchakato ulifanyika kwasababu waziro mkuu alistaafu
alistaafu kvp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…