Naibu Waziri Mkuu Biteko: Aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
"Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

"Siyo sawa, aliye mkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa 11 wa kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Chanzo: mwananchi_official

Halafu si huyo ambaye anajua chake hakipo tena kuna Wawili hao wanakuvizia kwa Kukuhofia kuwa nao makini mno.
 
Ndio nini sasa ulichoandika mbona mafumbo mengiii
 
"Siyo sawa, aliye mkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa 11 wa kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Chanzo: mwananchi_official

Halafu si huyo ambaye anajua chake hakipo tena kuna Wawili hao wanakuvizia kwa Kukuhofia kuwa nao makini mno.
Punguza kuandika mashudu
 
"Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Kazini Watu wanatakiwa watii sheria na kanuni za kazi . Kuwawajibisha mafisadi na sio kuwa team ya kulindana na kuhujumu nchi na kuuaashirika ya Umma.

Huyu Biteko tangu amelamba asali ya Vitalu amekua team ufisadi . Na aliwekwa pale kumzuia PM asiwakoromee mafisadi. Wafanyakazi wengi wanauaashirika ya umma unaachaje kuwafokea na kuwakea kwa ukali. Utawapa furaha vipi watu wanaosababisha Halmashauri zipate hati chafu kila mwaka .

Unawafutahishaji watu wanaogawa viwanja mara mbili mbili. Unawapa furaha vipi watu wanaoingiza sukari hewa na kukomba mil. 500 kwa mujibu wa Taarifa Mpina.

Kazini kila mtu atimizea majukumu yake na wananchi watamfurahia na ataata raha. *
 
Back
Top Bottom