Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Kwani si wameshasema mbona wanarudia rudia sanaπππ
Mwenye kuweza kuongea kauli inayo toa uamuzi wa mwisho wa Nchi ni Raisi
Sijajua kwanini wanarudia rudiaπSawa waendelee tu na uchaguzi.....
Wakati wananchi tushawasikia na tumekubali, uchaguzi uendelee.....Sijajua kwanini wanarudia rudiaπ
Hakuna hicho cheo kwenye katiba.....utajikombs tuu....sasa utaluwa hoja gani museee? Huruma tuuui...kula mafii huna jinsiiia wewee
Kwa kweli sijui nini kinawaumaWakati wananchi tushawasikia na tumekubali, uchaguzi uendelee.....
Mkuu Lumbardi kuna haja yoyote ya kuandika matusi? Toa hoja zako acha lugha chafu.Hakuna hicho cheo kwenye katiba.....utajikombs tuu....sasa utaluwa hoja gani museee? Huruma tuuui...kula mafii huna jinsiiia wewee
Kuna tusi hapoo ?? Tuache uchawaaaMkuu Lumbardi kuna haja yoyote ya kuandika matusi? Toa hoja zako acha lugha chafu.
We ni mtu muungwana acha kujichafua bwana.
Anayehairisha uchaguzi ni serikali au tume?
πππKuna tusi hapoo ?? Tuache uchawaaa
Ww umesema kitu sensitive sana.SAWA kama walioanzisha no reform no election ni chadema bas uchaguzi utakuwepo,lakini kama ni wengine nanchadema inatumika tu waliojiandaa kushindanwatajikuta hawawezi Fanya kampeni!!!
Labda kama wake jamaa sio wao lakini kama ni wao kazi tunayo!!
Wamewaambukiza hiyo tabia G55.Kila siku kurudiarudia kujitoa CDM.Tabia za uswahili na uchimvi kama wachawi.Kwani si wameshasema mbona wanarudia rudia sanaπππ
Leo anasema huyu kesho Dr Tulia, kesho kutwa Dr Mpango juzi kasema Cpa Makala.
Kwani kuna tatizo?
Tundu Lissu Hoyeee
Uchaguzi uhairishwe kwa sababu ya kikundi Fulani hakijajiandaa na uchaguzi.Ni uwendawazimu na utapeli wa kisiasa