gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Akina heche hawarudii no reform?Kwani si wameshasema mbona wanarudia rudia sana😀😀😀
Leo anasema huyu kesho Dr Tulia, kesho kutwa Dr Mpango juzi kasema Cpa Makala.
Kwani kuna tatizo?
Tundu Lissu Hoyeee