..kama kuna mabadiliko chanya mbona uchaguzi wa serikali za mitaa uliharibika na tena ulisimamiwa na Ofisi ya Raisi?
Ole wake mwananchi atakaye panga mstari kupiga kura.
kwa bahati mbaya, icho ndicho walichokuwa wanakitafuta ccm, wakaweka mtego, chadema wakaingia wenyewe, hawawezi kuvunja sheria kwa kuingizwa sasaivi kwa sababu sheria inasema asiyesaini imekula kwake. hawana wa kumlaumu, kilichobaki kwao ni kutuingiza kwenye machafuko (jambo ambalo ni baya sana na la kibinafsi) au kutegemea wazungu watuwekee vikwazo, pesa zipotee mtaani, na watakaoumia sio hawa wanaoshika vipaza sauti, hao kina doto na kulwa, hawa hata uchumi uwe mgumu naman gani fungu lao lipo palepale, hawatalala njaa, ila wananchi sasa? hapo utaona siasa ni mchezo mchafu wa kufaidisha wanasiasa/viongozi wachache wakati wanaowaongoza ni masikini na wanaumia.
nadhani kanuni ndio zinasema hivyo. au wewe unaelewa nini?Ni sheria gani hyo imesema Vyama vitasaini Kanuni siku moja tu Miezi zaidi ya mitano kabla ya Uchaguzi?
Au unasikiliza maneno ya UVCCM
Wao ndio wanufaika namba moja wa mfumo mbovu wanaanzaje kuhairisha uchaguzi !!!!Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema milango ya Serikali iko wazi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na kuwasihi wenye hoja kujongea kwa mazungumzo.
"Ninachoweza kusema kuhusu uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu utakuwa uhuru na wa haki huku nchi ikiendelea kuwa na amani"
"Uchaguzi utafanyika kwa uhuru na haki kama katiba inavyotaka, waliposikika waliotaka marekebisho ya sheria Serikali ilipitia na kufanya marekebisho ya sheria zinazosimamia uchaguzi na leo milango ya Rais Mhe. Dkt. Samia ipo wazi kwa yeyote mwenye kutoa malalamiko yake ili nchi iende mbele".
View attachment 3331159