PreGE2025 Naibu Waziri Mkuu Biteko: Hakuna mpango wa kuahirisha uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Ni sheria gani hyo imesema Vyama vitasaini Kanuni siku moja tu Miezi zaidi ya mitano kabla ya Uchaguzi?

Au unasikiliza maneno ya UVCCM
 
Wao ndio wanufaika namba moja wa mfumo mbovu wanaanzaje kuhairisha uchaguzi !!!!

wakose ulaji mnono...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…