Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika 2024, Dodoma

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika 2024, Dodoma

Kidogo Dotto hana mambo ya uchama sn, anghalau ni mtu ambaye anaweza kuongea na mtu yoyote, maza angetuma wale chawa wake wangeishia kumsifia pekee badala ya kutoa hotuba au hoja.
mbona naona sura za mawakili wa serikali hapo wameenda kufanya nini, na hao wote hawatampigia mwabukusi.
 
Habari za ndani kabisa kwa mheshimiwa kushauriwa awakilishwe , Maana yake Boniface Mwabukusi kwa taarifa za siri za Idara atapita na kuchaguliwa kuwa rais wa chama cha mawakili Tanganyika TLS
 
Itoshe Kusema, Doto Biteko ana kitu na atafika mbali.

Waliofanya vetting kumpa u naibu W/Mkuu waliona penyewe
 
Vyovyote vile itakavyokuwa Adv Mwabukusi is the Best Candidate so far
Inaelekea huyo Mwabu amevuta hisia za waTz kiasi hata huku vjjn naona wamemkubali. Wsws wangu ni chama na serikali kuingilia kw ktumia mbinu mblmbl ktokna na kuamini serkali inatekeleza ilani yao - kwamba kila asasi iitekeleze, hata kama hiyo ilani inayozngmziwa haijulikani au haiku wazi.
Jina linalotamblika huku ni Mwabukusi na nionavyo mm, Mwabukusi kachagliwa na wengi. Tatizo tlioko nje hatuna kura, ila wenye kukubaliwa nakujibiwa sala zao na Mungu wanaposali waje - anayependwa na wananchi apete- ni mwanasheria aliejionyesha anao uzalendo wa wazi
 
Contradicting statements kutoka kwa vyanzo vya habari.....
IMG-20240801-WA0073.jpg
IMG-20240801-WA0068.jpg
 
Back
Top Bottom