johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tundu Lisu alikuwepo?Kidogo Dotto hana mambo ya uchama sn, anghalau ni mtu ambaye anaweza kuongea na mtu yoyote, maza angetuma wale chawa wake wangeishia kumsifia pekee badala ya kutoa hotuba au hoja.