Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Tanzania na Afrika kwa ujumla tumekuwa na tabia na tatizo sugu la viongozi wetu kuwa na tabia ya unafiki, ubinafsi, uroho wa madaraka," what they preach is contrary what they are doing" Watanzania tuamka sasa tabia za namna hii tuwe tunazikemea hadhalani, hawezekani kiongozi yeye kaacha taaluma yake na kuja kwenye siasa, mara kazaa viongozi wa Tanzania tumewasikia kauli kama hizi, wakati wao wameacha taaluma zao ,na kuingia kwenye siasa.
Alafu anakuja watanzania tuache siasa eti hawezi kukupa ugali mezani .this is hypocracy. Watoto wenu mnawaandaa kuja kuwa wanasiasa.Alafu huku mnawambia watanzania waache siasa? Ww si ni mwl kwa taaluma Yako? Kwann uliacha uwalimu nakuingia kwenye saisa?( green pasture sio?)
Saizi watanzania wanaelewa which is which? Viongozi wa dini zote ,watanzania wote, Tukemee tabia hii ya unafiki bila kumungunya maneno.