Kuchitimbo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 467
- 384
Najua mko kwenye maandalizi ya kuitembelea wilaya ya Monduli,lakini kwa haya wanayofanyiwa wakaaji wa eneo la Mto wa Mbu (Kigongoni) si haki wala halal.
1. Watu wenu wanapewa maji kama msaada utadhani wapo jangwani.
2.Campsite nyingi kule ziwani zinatumia maji bila kufungiwa meter na hii ndo sababu ya watu wa Kigongoni kutokuwa na maji.
3.Wafungua maji wanatengeneza mazingira ya kunyima watu maji ili wapewe rushwa ndogo ndogo kwa kuuza maji.
4.Wakaaji wa mto wa mbu hawana meter na hii husababisha matumizi mabaya ya maji hadi Kigongoni kupewa maji mara moja kwa wiki..
5.Msikubali kusikiliza maneno matupu ingieni mitaani kuuliza raia maji yanatosheleza?.
6.Ukichunguza kwa makini ni kama wanahujumu Serikali iliyoko madarakani.
7.Kwa nini hawataki kuwafungia watu wa Mto wa mbu na Kigongoni meter ili kila mtu atumie maji kulingana na kiasi cha pesa atakachokuwa anachangia?.
8.Kama wameshindwa kusimamia miradi ya maji na kusupply maji kwa wananchi kwa nini msiwakabidhi SUMA JKT wasimamie hilo?.
9.Muombe uongozi wa wilaya uwapeleke source ya maji,njoro ndogo hadi Bwana la miwaleni muone maji yalivyo mengi na hali wananchi wa eneo hilo wakiwa na shida kubwa kubwa ya maji.
10.Aweso,ukisimama imara juu ya suala la maji hakika maneno machafu juu ya serikali yetu yatapungua.
11.Mshauri viongozi wa eneo hii kuacha ukabila watumikie watu wote maaana maeneo mengine umasaini wanapata maji mara 3 hadi 4 kwa wiki,ila waswahili ni mara moja kwa wiki na wiki zingine ni bilabila.
KARIBU MONDULI,KARIBU KIGONGONI PIA KARIBU MTO WA MBU.