GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mbumbumbu wapewe kombe lao la kukosa ubongo maana wamewehukwa akili sababu tu ya kuona Wananchi wanajitwalia ubingwa wa CAFCCL rasmi 03/06/2023 ugenini dhidi ya USM ALGER.Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku ukijijua Wewe ni mwana Simba SC lia lia nimemuamini huyo Mtu.
Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
[emoji23]Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku ukijijua Wewe ni mwana Simba SC lia lia nimemuamini huyo Mtu.
Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Refa kala hela za GSM wallah.Eti Refa Kaongeza Dk 10.... ile mizigo pale mbele hata ingepewa Dk 45 isingeweza kufunga
Mchuchu hjambo!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Refa kala hela za GSM wallah.
Dkk 10?? Khaaaah
Yule ni Kiongozi, naibu waziri
Anafanya Kazi ya Taifa sio Club
Mjuaji pro max elewa hivo
Wee kila kitu unakijua
Unataka kuongea
Umetokea Mara sehemu gani hiyo?
Sina Home boi wa namna hii
Ilikua inacheza Taifa Starz au UtopoloUnaongea Pumba tu.
Kwani angevaa jezi ya tanzania sindo tungemuona mzalendo?
SijambooooMchuchu hjambo!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yahaya sio [emoji1787][emoji1787]jide anamjua vizuri,hana muamana hata kidogo[emoji848]
NimekumisSijamboooo
Asa wewe Kati ya uwaziri na simba unachagua nn?Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku ukijijua Wewe ni mwana Simba SC lia lia nimemuamini huyo Mtu.
Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
NipoooooNimekumis