Naibu Waziri Mwana FA umekubali Kuvaa Jezi ya Yanga SC ili Mstaafu Mshawishi mwana Yanga SC akulinde kwa Mama usitumbuliwe Uwaziri?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku ukijijua Wewe ni mwana Simba SC lia lia nimemuamini huyo Mtu.

Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
 
Mbumbumbu wapewe kombe lao la kukosa ubongo maana wamewehukwa akili sababu tu ya kuona Wananchi wanajitwalia ubingwa wa CAFCCL rasmi 03/06/2023 ugenini dhidi ya USM ALGER.

Kaeni kwa kutulia Makolokolo maana walioweka fainali 2 waliwazidi akili.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku ukijijua Wewe ni mwana Simba SC lia lia nimemuamini huyo Mtu.

Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
[emoji23]
 
Duhhhhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
fb4b341430bc4e228cc40f67cf846914.jpg
 
Eti Refa Kaongeza Dk 10.... ile mizigo pale mbele hata ingepewa Dk 45 isingeweza kufunga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Refa kala hela za GSM wallah.
Dkk 10?? Khaaaah
 
Yule ni Kiongozi, naibu waziri
Anafanya Kazi ya Taifa sio Club
Mjuaji pro max elewa hivo
Wee kila kitu unakijua
Unataka kuongea
Umetokea Mara sehemu gani hiyo?
Sina Home boi wa namna hii
 
Yule ni Kiongozi, naibu waziri
Anafanya Kazi ya Taifa sio Club
Mjuaji pro max elewa hivo
Wee kila kitu unakijua
Unataka kuongea
Umetokea Mara sehemu gani hiyo?
Sina Home boi wa namna hii

Unaongea Pumba tu.

Kwani angevaa jezi ya tanzania sindo tungemuona mzalendo?
 
Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku ukijijua Wewe ni mwana Simba SC lia lia nimemuamini huyo Mtu.

Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
Asa wewe Kati ya uwaziri na simba unachagua nn?
Kuna watu andazi na simba wamechagua andazi sembuse uwaziri!!!
 
Back
Top Bottom