DOKEZO Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni mshenzi hafai kwenye jamii, apelekwe kwenye gereza la kiume manyampara wakamle kisamvu cha kopo
 
Polisi wamemtesa kijana sasa hivi baada ya Rais kumfuta kazi huyo Mbunge polisi hao hao waliochukua mpunga wa Mbunge wanafanya kazi ya Jamhuri tena kutaka kumhoji Mbunge aliewapelekea mtu wamtese bila maelezo yeyote...
 

Mkuu, kama unauweza UNAFIA, ipo siku nitakupa kazi. Karibu pm tuyajenge
 
Kwa jinsi mambo yalivyo huyu mbunge atakuwa anahaha kusawazisha mambo yaishe hata kwa kutoa mamilioni ya pesa kwa familia ya kijana na wahusika wenyewe

Tunamtaka RPC Manyara, Gekul akae lock up wakati uchunguzi ukiendelea vinginevyo ushahidi utavurugika, usicheze na pesa wewe
 
Unamtaka au sheria inamtaka? Pamoja na tuhuma zake bado kisheria anastahili dhamana. Siku sheria ikipindishwa kwako utajisikiaje?
 
Yaani hata sijakuelewa.


Mkuu hufai kuelekeza mtu[emoji1787]

Hebu andika vizuri,
Kijana gani,nani alitumwa wapi,kazi gani?

Assume sijui chochote kuhusu Gekul na kijana.
 
Tunaishi na watu wenye roho za ajabu sana.


Afikishwe mahakamanj
 
Kwa ufupi unasema imetengenezwa
 
Unapenda sana kuwa opposite wewe
Sasa kitendo alichifanya hyo mb ni
Sawa.....
Kuwafanyia madogo kama hao kuwapiga na kuwaingiza chupa mtkoni ni unyama

Ova
Kwa kuwa sheria imechukua mkondo wake, tufanye subira kujua ukweli. Kinachojulikana kwa sasa ni madai tu ya huyo kijana ya kufanyiwa ukatili huo.

Kwangu mimi kuna harufu ya kisiasa kama ilivyotokea kwa Sabaya. Jimbo la Babati linagombewa kama la Hai, kwa kutumia siasa za kuchafuana, kupitia mitandao ya kijamii.
 

Tuamini ni kweli, je, kumtendea huyo kijana hivyo kulikuwa na matarajio gani? Kwamba ni kitendo ambacho hakikufanyika hadharani, labda kwa nia ya kumdharilisha. Lakini kama ilikuwa kutaka kujua ukweli kuhusu kutuhumiwa kufanya uchawi, kwa kitendo hicho, mh!

Isitoshe mwajiri wake wa awali amedai huyo kijana na mwenzake walikuwa kila mwisho wa mwezi wakipokea mishahara hawafiki kazini siku tatu - haaminiki.

Mbali na sheria kuchukua mkondo wake, busara itumike nchi isiwe mhanga wa mitandao ya kijamii kuzusha na kukuza mambo.
 
Hakuna jimbo lisilogombewa. Yaani mwanasiasa akijichanganya ndo anamalizwa na kupotezwa mazima kisiasa. Tena huyu Gekul kwa kuwa ni mhamiaji ingebidi awe makini zaidi.
 
Waziri anatumia kituo cha Polisi kutesa raia harafu leo hii wale wale waliofanya uchafu eti wapo kwenye kesi ya Uchunguzi wanachunguza nini hao ndio chanzo kikuu sio kuwa tu kuwajibika wanatakiwa wawepo kwenye kesi ya Ukatili pia...
 
Nimekuwa najiuliza kwanini CCM TAIFA haikumchukulia HATUA za KINIDHAMU Mbunge wake PAULINE GEKUL licha ya Mh. RAIS kutengua UTEUZI wake?
Ninaamini mpaka RAIS anatengua UTEUZI anakuwa amejiridhisha kwa kina SABABU za KUTENGUA niliamini na CCM ilipaswa imwadhibu KICHAMA Mbunge Kama SERIKALI olivyotengua Uteuzi wake kwani ni KASHFA kwa Chama na ili iwe FUNDISHO kwa Wanachama wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…