Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Na ajiuzuru ubunge ,katweza utu WA mtu,Na Mungu aliyemuinua hadi kufika hapo atamshusha Hakika.
Mbunge wa t labda afe, kujiuzulu itabidi chama kichukue hatua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ajiuzuru ubunge ,katweza utu WA mtu,Na Mungu aliyemuinua hadi kufika hapo atamshusha Hakika.
Mara nyingi watu wanaofanyiwa unyama wa aina hii unakuta anampanda mtu kichwani kwa kumletea mambo ya ovyo. Hasira zake ndio anamrudishia kwa kutuma watu wafanye unyama wa aina hiyo.
Binafsi I am capable of doing worst if opportunities arises kwa watu kama watatu tu hivi; ipo siku wataingia anga zangu.
Unamtaka au sheria inamtaka? Pamoja na tuhuma zake bado kisheria anastahili dhamana. Siku sheria ikipindishwa kwako utajisikiaje?Kwa jinsi mambo yalivyo huyu mbunge atakuwa anahaha kusawazisha mambo yaishe hata kwa kutoa mamilioni ya pesa kwa familia ya kijana na wahusika wenyewe
Tunamtaka RPC Manyara, Gekul akae lock up wakati uchunguzi ukiendelea vinginevyo ushahidi utavurugika, usicheze na pesa wewe
Sheria inaruhusu mtu kuwekwa lock up iwapo anahatarisha usalama au kuathiri mwenendo wa ushahidiUnamtaka au sheria inamtaka? Pamoja na tuhuma zake bado kisheria anastahili dhamana. Siku sheria ikipindishwa kwako utajisikiaje?
Yaani hata sijakuelewa.Chanzo: kijana alitumwa kuchukua fingerprint (mchanga + n.k) wakazitumie katika mambo ya ushirikina . awali walimwambia kazi haipo katika hotel akalazimisha anataka aonane na Naibu waziri (mhusika) na boss wa hotel hiyo
Wakamshtukia. Katika kumchukua maelezo Nani kamtuma adhabu za hapa na pale ndio story ikatokea hiyo.
Story ya kutunga tu..
Tunaishi na watu wenye roho za ajabu sana.Kwa jinsi mambo yalivyo huyu mbunge atakuwa anahaha kusawazisha mambo yaishe hata kwa kutoa mamilioni ya pesa kwa familia ya kijana na wahusika wenyewe
Tunamtaka RPC Manyara, Gekul akae lock up wakati uchunguzi ukiendelea vinginevyo ushahidi utavurugika, usicheze na pesa wewe
Kwa ufupi unasema imetengenezwahapo hakuna kesi.. Wana buy muda tu.. hili suala wadau wamelivaa Kama sehemu ya kumkoa Kama aliekuwa mwanachama wa CHADEMA, viongozi wa chadema mmelivaa kweli kweli .. kuondolewa unaibu waziri sio kigezo cha Rais kubaliki hapana.
Siasa ni mchezo mchafu Sana sanaaa sanaaa..
Time will Tell.
Wewe ni hakimu?Sheria inaruhusu mtu kuwekwa lock up iwapo anahatarisha usalama au kuathiri mwenendo wa ushahidi
Kwa kuwa sheria imechukua mkondo wake, tufanye subira kujua ukweli. Kinachojulikana kwa sasa ni madai tu ya huyo kijana ya kufanyiwa ukatili huo.Unapenda sana kuwa opposite wewe
Sasa kitendo alichifanya hyo mb ni
Sawa.....
Kuwafanyia madogo kama hao kuwapiga na kuwaingiza chupa mtkoni ni unyama
Ova
Hashimu Ally Phillemon, mkazi wa Babati Mjini anaeleza kwamba alikamatwa eneo lake la kazi, Paleii Lake View Garden, mali ya mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Naibu Waziri wa Sheria na Katiba na kupigwa, kujeruhiwa na kuwekewa chupa katika maeneo ya haja kubwa.
Hashimu Ally anadai, Pauline Gekul alitoa bastola, akamueleza achague kukalia chupa mwenyewe au apigwe risasi na mwili wake wakautupe katika Ziwa Babati. Alipogoma, wakampiga sana, wakamuingizia chupa sehemu ya haja kubwa. ...
Hakuna jimbo lisilogombewa. Yaani mwanasiasa akijichanganya ndo anamalizwa na kupotezwa mazima kisiasa. Tena huyu Gekul kwa kuwa ni mhamiaji ingebidi awe makini zaidi.Kwa kuwa sheria imechukua mkondo wake, tufanye subira kujua ukweli. Kinachojulikana kwa sasa ni madai tu ya huyo kijana ya kufanyiwa ukatili huo.
Kwangu mimi kuna harufu ya kisiasa kama ilivyotokea kwa Sabaya. Jimbo la Babati linagombewa kama la Hai, kwa kutumia siasa za kuchafuana, kupitia mitandao ya kijamii.
Waziri anatumia kituo cha Polisi kutesa raia harafu leo hii wale wale waliofanya uchafu eti wapo kwenye kesi ya Uchunguzi wanachunguza nini hao ndio chanzo kikuu sio kuwa tu kuwajibika wanatakiwa wawepo kwenye kesi ya Ukatili pia...Nimesikitishwa na unyama uliotendewa huyo kijana. Ninashauri wafuatao nao wawajibike. (1) RPC wa Manyara (2) OCD wa Wilaya ya Babati (3) OCS wa Kituo cha Polisi cha Babati na Maaskari wote waliohusika kumtesa huyo kijana. Inakuwaje kijana anakaa Polisi muda wa siku nne akiteswa siku nne mfululizo bila dhamana. Hao wanatakiwa wafukuzwe kazi mara moja.