DOKEZO Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

DOKEZO Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kumuingiza mtu chupa mkunduni kuna tofauti gani na kosa la kubaka?

Je hiyo chupa walipaka mafuta au ilikuwa kavu?
 
Pole kwa hao vijana,niliona video jana,nikajua alifumaniwa,aisee.
 
Ukatili huu unadaiwa kufanywa na Pauline Gekul ambaye ni Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, wizara ambayo inapaswa kuongoza kwa vitendo ulinzi wa haki za binadamu, utawala bora wa sheria.
Tukio hili, ingawa ni tofauti kidogo na tukio jingine la kusikitisha, likihusu kumpoteza mtoto katika mazingira ya kutatanisha, lililompata mkuu 'Sifi leo' mshiriki mwenzetu katika kumbi hizi za JF.

Kwa bahati nzuri hili la "kunyanyasa" limeshughulikiwa haraka kwa vile taarifa zimetoka nje.

Lile lililohusu DC na DCO na wengine huko Lindi, lenyewe kwa vile halikuwa na taarifa juu yake limekuwa kama halijatokea.
Jambo la kijana kuuawa, halafu mazingira yaliyo sababisha kifo kuchukuliwa kirahisi rahisi kama DC na wenzake walivyofanya, linahitaji kuchukuliwa kwa uzito mkubwa zaidi bila kujali ni nani aliye husika katika tukio hilo.
 
Hashimu Ally anasema alituhumiwa na bosi wake (Pauline Gekul) kutumwa kuweka sumu ili kumuua Pauline Gekul,
Kama kuna ukweli wowote katika tuhuma hizi, basi wabaya ya mbunge wametimiza adhma yao kirahisi kwa mbunge mwenyewe kuwasaidia kufikia malengo yao.

Hili ni jambo lililohitaji utulivu wa akili, badala ya kufanya yote hayo anayo daiwa kuyafanya mbunge.
 
Gekul kajifunzia wapi hii michezo ya kwenye haja kubwa?
 
Kumuingiza chupa sehemu ya haja kubwa ni ukatili uliopitiliza. Dogo Leo hii Hana marinda Tena. Wahusika wapelekwe mahakaman na 2025 Chama kifanye yake
 
Back
Top Bottom