Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upande wa tatu tumeusikia leo umechukuwa hatua za awali, upande wa pili tutegemee kuusikia mahakamani.Endelea kusubiria upande wa pili na wa tatu.
Nakutafuta wewe mwenye kinyeo kitamu kama chachandu 😂😂🙌Watafute wazazi wako waliozaa laana ya Dunia.
Huna Baba?Nakutafuta wewe mwenye kinyeo kitamu kama chachandu 😂😂🙌
Njoo nikutifue.Huna Baba?
Mtu anabakwa kwa kuingiziwa uume kwenye uke bila ridhaa yake.Kumuingiza mtu chupa mkunduni kuna tofauti gani na kosa la kubaka?
Je hiyo chupa walipaka mafuta au ilikuwa kavu?
Keshapunyuliwa huko.Hakuna uchunguz wwt ukatao fanyika
Zaidi ya kumlinda mb
Ova
Tukio hili, ingawa ni tofauti kidogo na tukio jingine la kusikitisha, likihusu kumpoteza mtoto katika mazingira ya kutatanisha, lililompata mkuu 'Sifi leo' mshiriki mwenzetu katika kumbi hizi za JF.Ukatili huu unadaiwa kufanywa na Pauline Gekul ambaye ni Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, wizara ambayo inapaswa kuongoza kwa vitendo ulinzi wa haki za binadamu, utawala bora wa sheria.
Kama kuna ukweli wowote katika tuhuma hizi, basi wabaya ya mbunge wametimiza adhma yao kirahisi kwa mbunge mwenyewe kuwasaidia kufikia malengo yao.Hashimu Ally anasema alituhumiwa na bosi wake (Pauline Gekul) kutumwa kuweka sumu ili kumuua Pauline Gekul,
Mkuu huyu mbwa.ndo anaye panda mikokoteni ya punda....Team Mbowe ya wapi wewe kilaza