Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
Hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ufisadi utaziuiwa?Utekelezaji upi zaidi ya huo anaoufanya?
una matatizo ya akili wewe yaani unalazimisha visivyolazimishwaNamuona dogo nyota yake iking'ara kuliko hayo mabumunda mengine yanayomtumia mange kuitukana serikali. Ridhiwani yupo makini sana na umri unamruhusu. Huyu kwangu ndio future president wa ukweli baada ya mama .Nimesimama pale.
mafisdi wapi wakati yeye mwenyewe ni fisadiUtekelezaji upi zaidi ya huo anaoufanya?
Hanaye faa ni naniCcm wote hawafai eti eti ridhiwani
Anayefaa ni naniHanaye faa ni nani
Ni maigizo tupu, rushwa ipo pale paleHayo ni maneno utekelezaji bado ukaona matokeo. Kila mtu anaweza kusema chochote tanzania hii
Huyu Urais atausikiga tu ,asema Bwana
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeamua kujenga Mfumo wa Kitaifa wa Kielektroniki wa Ununuzi Tanzania (NeST) ili kukabiliana na changamoto ya Rushwa katika mfumo wa manunuzi ya serikali.
Kikwete ameyasema hayo wakati akifunga Kongamano la 14 la mwaka la wataalamu wa ununuzi na ugavi zaidi ya 900, Kongamano lililofanyika Jijini Arusha, Desemba 14.2023 lenye kauli mbiu isemayo, 'Mabadiliko ya Kidijitali kwa ajili ya kuboresha Usimamizi na ugavi kuelekea Maendeleo endelevu'.
"Zaidi ya asilimia 72 ya Bajeti ya serikali inatumika kwenye manunuzi ya umma, lakini eneo hili la ununuzi wa umma limekuwa likiripotiwa kugubikwa na vitendo vya Rushwa na ubadhirifu na kutokana na uzito huo, Serikali kupitia Mamlaka ya Serikali Mtandao imeamua kusanifu, kujenga na kusanikisha Mfumo wa Kitaifa wa Kielektroniki wa Ununuzi Tanzania (National e-Procurement System of Tanzania- NeST) ili kuweza kukabiliana na changamoto hiyo" -Ridhiwani Kikwete.
Amesema mfumo huo utasaidia kuondoa mianya ya Rushwa na upendeleo na hivyo thamani ya pesa za Serikali katika bidhaa na huduma italindwa kwani kutakuwa hakuna ulazima wa watu kukutana ana kwa ana.
Jambo TV
una matatizo ya akili wewe yaani unalazimisha visivyolazimish
Tatizo liko wapi kama anafaa???Mbona akina Putin, kagame, museveni wapo madarakani muda mrefu??? ni pouwa itakua kuongozwa na baba na mwanae?? George Bush je???mtaongozwa na ukoo kifalme siku xote
Huyo naibu waziri na babake ni mafisadi wakubwa, siku wizi wao utakapowekwa hadharani nchi itatetemeka
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeamua kujenga Mfumo wa Kitaifa wa Kielektroniki wa Ununuzi Tanzania (NeST) ili kukabiliana na changamoto ya Rushwa katika mfumo wa manunuzi ya serikali.
Kikwete ameyasema hayo wakati akifunga Kongamano la 14 la mwaka la wataalamu wa ununuzi na ugavi zaidi ya 900, Kongamano lililofanyika Jijini Arusha, Desemba 14.2023 lenye kauli mbiu isemayo, 'Mabadiliko ya Kidijitali kwa ajili ya kuboresha Usimamizi na ugavi kuelekea Maendeleo endelevu'.
"Zaidi ya asilimia 72 ya Bajeti ya serikali inatumika kwenye manunuzi ya umma, lakini eneo hili la ununuzi wa umma limekuwa likiripotiwa kugubikwa na vitendo vya Rushwa na ubadhirifu na kutokana na uzito huo, Serikali kupitia Mamlaka ya Serikali Mtandao imeamua kusanifu, kujenga na kusanikisha Mfumo wa Kitaifa wa Kielektroniki wa Ununuzi Tanzania (National e-Procurement System of Tanzania- NeST) ili kuweza kukabiliana na changamoto hiyo" -Ridhiwani Kikwete.
Amesema mfumo huo utasaidia kuondoa mianya ya Rushwa na upendeleo na hivyo thamani ya pesa za Serikali katika bidhaa na huduma italindwa kwani kutakuwa hakuna ulazima wa watu kukutana ana kwa ana.
Jambo TV
Mwenye macho haambiwi onaTuwekee hapa huo ufisadi wao