Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete apewe maua yake kwa kupambana na wazembe na mafisadi

Huyu Urais atausikiga tu ,asema Bwana
 
una matatizo ya akili wewe yaani unalazimisha visivyolazimish

mtaongozwa na ukoo kifalme siku xote
Tatizo liko wapi kama anafaa???Mbona akina Putin, kagame, museveni wapo madarakani muda mrefu??? ni pouwa itakua kuongozwa na baba na mwanae?? George Bush je???
Mitanzania ndivyo ilivyo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Huyo naibu waziri na babake ni mafisadi wakubwa, siku wizi wao utakapowekwa hadharani nchi itatetemeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…