LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Mollel ana kipi cha kuongea zaidi ya kujitoa ufahamu?Leo Februari 11 Mwaka huu kuanzia mchana Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Watoto, Daktari Godwin Mollel atazungumza na vyombo habari na matangazo hayo kurushwa mubashara na TBC Taifa kuzungumzia hali ya Afya hapa Nchini kwa ujumla wake.
Mfahamishe ambaye hana taarifa.
Kati ya mawaziri wa Jpm ambao hawako kitaaluma ni huyu na boss wake. Huwafanya Watanzania ni wajinga hawana akili.
Akang'oe meno huko aachane na sisi.