Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Mda bado au wandishi wa habari walikuwa sokoni morogoroLeo Februari 11 Mwaka huu kuanzia mchana Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Watoto, Daktari Godwin Mollel atazungumza na vyombo habari na matangazo hayo kurushwa mubashara na TBC Taifa kuzungumzia hali ya Afya hapa Nchini kwa ujumla wake.
Mfahamishe ambaye hana taarifa.